Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Soma vizuri uelewe, jamaa kasema kila huyo rafiki yake anapokuwa mbali anakuwa na ujasiri, lakin akifika nyumbani uoga humuingia hapo unadhani ni hali ya kawaida,,.mimi pia nimemshuhudia mtu wa namna hiyo ukweli usiombe ikukute hiyo hali.
Kama umesoma mwanzo wa text yangu utaelewa, na unataka kusema ni uchawi. hio ni kama Mtoto anayepigwa pigwa anakua mwoga , na wanawake wana hio saikolojia ya kucheza na akili za watu, ndio maana jamaa anapata hisia za kurudi kwenye uhalisia wake katokana na maumivu anayopata, kama ya kutokua na Nguo za maana na kutosha, kutokula sawa sawa, Kutembea kwa mguu mwendo mrefu, na ana gari, kukosa pesa nk. ila anasita kutokana na picha aliyojengewa mwanzoni. kama ukifanya hivyo utaitwa mkorofi,mbishi nk.
 
Nikisema is from the same background ninamaanisha. Kama wazazi wako wanalima mihogo huko Handeni epuka kuoa mtoto wa mkuu wa mkoa au katibu mkuu au tajiri sana.

Tafuta hata mtoto wa mwalimu ili msipishane sana, akienda kwenu asishangae choo Cha mlango gunia.

Kuna mpuuzi kaoa binti ambaye kwao vyoo viko chumbani, jamaa kwao choo Cha Shimo kiko mita Mia kutoka kwa nyumba, binti alipotaka kujisaidia usiku wa saa name, Ile kutoka kutoka nje fisi huyu.

Binti alikijolea kwenye karai na kufunga safari kulipokucha
 
It doesn't make any sense but I've heard of a wife sniffing her husbands dick every evening before he sets foot inside the house but yet again it's a crazy world we live in.I think that woman went to get his man fixed in order to dominate the household
Huyo anaenusa dushe Hana akili.
Wenye akili huwa wanaikamua kidogo, Kama umechepuka Kuna kale ka maziwa Fulani katatoka na kudondokea kwenye chupi
 
Nimehisi kumuhurumia tu, jitoe umsaidie kafungwa kishirikina ndo maana uanaume wake anauonyesha mbele za wengine na si mkewe maskini weee!! Hiyo yote inatokana na tamaa wanawake tujifunze kuridhika jamani😭😭😭imeniuma kiukweli hii imani ya kumroga mwanaume ili nimtawale,, haijawahi kuwepo kichwani kwangu Kwanza napenda kutawaliwa na dume, akorome aungurume ndani hivyo ndivyo mwanaume ameumbwa kuwa kwa mwanamke wake,

Sio mwanaume wa kusema ndio kwa kila neno aisee tuko tofauti nadhani

Mwanaume anahitaji umakini wa hali ya juu Sasa katika kuchagua mke wa kuoa kuliko sie wanawake
 
hizi tabia zipo kwenye kila kabira, kwa wahaya tunaita Shuntama (kama sijakosea) ukifanyiwa utakuwa bwege kwel kwel.
Mwanamke mpumbavu na mjinga ndio anaujasir wa kumfanyia hvyo mtoto wa mwenzie
Kwa majirani zangu fulani. Unawekewa nyama kwenye papuchi masaa Saba Kisha inatolewa inakaangwa halafu unapewa ule. Siku hiyo yeye hali anatoa vijisababu vya ovyo ili ule ule uchafu peke yako. Halafu usiku wakati mwanaume uko isingizini unakoroma anachukua chupi yake aliyoivaa siku nzima na kukuwekea kwenye pua. Usiku mzima utakua unavuta perfume ya papuchi.
Ukishapewa hiyo dozi Mara Saba Kaka huchomoki.
Wakamba mpo humu?
 
Kuna dingi mkubwa (sasa marehemu) mkewe alimsumbuaga kichiz na alikuwa hawez kufanya maamuzi yoyote ndani ya nyumba ...hali ilipozidi mashangazi wakaingilia kati wakaandika talaka wao na wakahakikisha yule mother anaondoka pale

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] ni Wanyakyusa?...maana hao Kaka yao hawezi nyanyasika na wao wanaona...haiwezekani
 
Duh hivi kuna mwanamke mwenye ujasiri wa kunyanyasa mtoto wa watu hivi!?!

Mwanamke anampandaje akili hivi mumewe,?
Ameshindwa kabisa kumrekebisha?
Ndugu zake wameshindwa?
Kwanini ampe hela zake zote?huo ni ujinga.

Wanaume simameni kwenye nafasi zenu.
 
Kama umesoma mwanzo wa text yangu utaelewa, na unataka kusema ni uchawi. hio ni kama Mtoto anayepigwa pigwa anakua mwoga , na wanawake wana hio saikolojia ya kucheza na akili za watu, ndio maana jamaa anapata hisia za kurudi kwenye uhalisia wake katokana na maumivu anayopata, kama ya kutokua na Nguo za maana na kutosha, kutokula sawa sawa, Kutembea kwa mguu mwendo mrefu, na ana gari, kukosa pesa nk. ila anasita kutokana na picha aliyojengewa mwanzoni. kama ukifanya hivyo utaitwa mkorofi,mbishi nk.
Labda nikuulize kwanza,..je una amini kwamba mambo kama haya huweza kusababishwa na uchawi pia.
 
Duh hivi kuna mwanamke mwenye ujasiri wa kunyanyasa mtoto wa watu hivi

Mwanamke anampandaje akili hivi mumewe,?
Ameshindwa kabisa kumrekebisha?
Ndugu zake wameshindwa?
Kwanini ampe hela zake zote?huo ni ujinga.

Wanaume simameni kwenye nafasi zenu.
Kapigwa kimbola huyo.
 
Aisee kama hii story ni ya kweli basi huyo jamaa yako anahitaji msaada mkubwa sna tena sna maana namuonea sna huruma kiufupi tuu huyu mke wake ni mchawi tena mchawi sna hakuna mwanaume anayeweza kuishi maisha kama hayo kwa akili yake .....inahitakika asaidiwe na sio yeye ajisaidie.
 
Back
Top Bottom