Kisa kilichonifanya nikae mbali Sana na wake za watu

Haya mambo acha kabisa, Mzee wangu mmoja hivi alijinyonga kisa mke wa mtu. Alitoa zaidi ya 70M lakini hakuishi Kwa amani, ikabidi ajipige kitanzi tu, aibu kweli kweli. Picha zimeonekana akilawitiwa.
Noma sana
 
Mwamba Patric tena kwenye harakati
 
Nasoma kwa umakini nkajua kuna jambo lililkukuta kumbe story tu sijapenda
 
Sijamaliza kusoma yote ila sipendagi mijitu mioga mioga ungekuwa karibu yangu ungekula kwenzi za kutosha.

Acha ujinga siku ingine kula huyo mtoto, pumbavu zako

Unamuacha huyo mtoto mzuri halafu kumbe wife huko ana cheat na kupigishwa style za kimafia.
 
Tag
 
Sasa amekutafuta hivi karibuni. Imekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…