Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Mkuu mpaka Leo hujalala aseeh hongera sana 😂Kweriiiii kweriiiii 😁mkuu 😊
Mkuu mpaka Leo hujalala aseeh hongera sana 😂Kweriiiii kweriiiii 😁mkuu 😊
Nipo nyumbani muda huu, wife anaenda kupakua msosii in short natoboaaMkuu mpaka Leo hujalala aseeh hongera sana 😂
Hahahaha hapo marufuku kula huku una simu, kina mama nawajua 😂😂Nipo nyumbani muda huu, wife anaenda kupakua msosii in short natoboaa
Kaka ninayo mengi kuhusu hili ila kikubwa shukuru unaniona tunapiga story tu hapa😂😂Kweli Mimi najiheshimu
Hadi nimehisi nina ID mbili na niliandika hiyo reply yako nikiwa nimesizi... umepanga kila kitu sawa sawa kabisaMpepe Ni Bonge Moja La Burudanii Likikubali... Na Ndio Starehe Yangu Namba Moja,,Ikifuatiwa Na Kitimoto+Juisi Ya Ukwaju...
Sawa kaka.Kaka ninayo mengi kuhusu hili ila kikubwa shukuru unaniona tunapiga story tu hapa😂😂
Ulisema kweriiiii 😂 😂 😆 😆Hahahaha hapo marufuku kula huku una simu, kina mama nawajua 😂😂
MorningsUlisema kweriiiii 😂 😂 😆 😆
Morning 🌅 🌄 too, upo powaaMornings
Niko njema kabisa Alhamdullilah 🙏Morning 🌅 🌄 too, upo powaa
Mapambano lazima yaendelee.Niko njema kabisa Alhamdullilah 🙏
Muhimu aseeh, ngoja nishushe nyavu nione, samaki watanaswa ?Mapambano lazima yaendelee.
Kikubwa DuaMuhimu aseeh, ngoja nishushe nyavu nione, samaki watanaswa ?
Vipi mwanangu yale mambo yako uliyamaliza na mtalaka wako?Inategemeana na mtu lakini . Sa kwamfano mimi hata mtu anichukjlie mke hata niwafume live, ndio nitakufanya nini sasa? Mimi muungwana, siwezi kukufanyia udhalimu wala siwez kutafuta watu wakufanye ubaya, zaidi tu nitatoa talaka ili ukamle vizur mbele ya safari. Sasa kuna haja gani ya kuogopa hapo? So ina depend na mtu na mtu
Nilishamalizana nayo kaka. Yote. Vipengele vimebaki kwake tuVipi mwanangu yale mambo yako uliyamaliza na mtalaka wako?