Kisa kilichonifanya nikae mbali Sana na wake za watu

Katika maisha yangu nimewahi Tomba mke wa mtu mara moja tu ,tena nilijilaumu sana baada ya kujua ukweli. Na ndo ikawa mwisho wetu yule dada alikua na tamaa vibaya sana yaani nilishangaa mke wa mtu anawezaje kua vile free muda wote kama hana mume. Siku jamaa yake ananipigia simu kuniambia niachane na mke wake ama tusakane nilishangaa kwa bahati mshikaji niliongea nas kiume alielewa kweli sikua najua.
 
Aiseeee 🤔

Monetary doctor
min -me
MENEMENE TEKERI NA PERESI
 
Inategemeana na mtu lakini . Sa kwamfano mimi hata mtu anichukjlie mke hata niwafume live, ndio nitakufanya nini sasa? Mimi muungwana, siwezi kukufanyia udhalimu wala siwez kutafuta watu wakufanye ubaya, zaidi tu nitatoa talaka ili ukamle vizur mbele ya safari. Sasa kuna haja gani ya kuogopa hapo? So ina depend na mtu na mtu
 
Kwaio mkuu huna BAYA
 
Ogopa Sana kutembea na MKE WA mtu, afu mumewe awe ni wale zilizofyatuka
kweli kabisa nikikumbuka ulivyokuwa ukitoka misibani unapitia Chamanzi Kwa fundi cherehani ,unaanza kusikikilizia miguno ya fundi cherehani akipigwa mbupu na unabaki unajichua nje unasepa....hahahha
 
Shukuru kama malinda yako yapo salama,but hujakwepa laana ya kutembea na wake za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…