Kisa kilichonifanya nikae mbali Sana na wake za watu

Mpepe Ni Bonge Moja La Burudanii Likikubali... Na Ndio Starehe Yangu Namba Moja,,Ikifuatiwa Na Kitimoto+Juisi Ya Ukwaju...
Hadi nimehisi nina ID mbili na niliandika hiyo reply yako nikiwa nimesizi... umepanga kila kitu sawa sawa kabisa
 
Hiloooo kumbe we mwoga hivyo? Mbona mimi nilitembea sana na Mke wa Muhaya mmoja sijakamatwa, na ana mapaja makubwa huyo dada nakuambia.
Kwanza ananipenda kuliko Bwana wake nakuambia
Mwanaume mzima mwogaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uliponea chupupu mkuu.......

ungepakwa wese..
 
Sikiliza,ondoa chapati moja weka andazi kwhy iwe chapati 2 andazi moja na chai moja
 
Vipi mwanangu yale mambo yako uliyamaliza na mtalaka wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…