Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Hukufanya kosa lolote huna sababu ya kujihukimu
 
Bibi mwana sana. Huyo kamanda alizingua kwa upande mmoja. Lakini kwa upande wa pili hakuwa na namna.
 
Watoto wa kiume huwa tuna wivu sana na dada zetu
 
Fumanizi kiboko!!
Bibi mkubwa VC bi mdogo!! Bibi alikuwa anakutishia tu pengine wivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee ulifanya poa sana ata mzee nae alifanya poa sana ila dola ndio inasababisha uzinzi uendelee. Sasa mzee anafungwa kwa sababu gani? Mtu analinda jina la familia eti mnamswenka jela. Upuuzi mtupu.
Wala usijutie mwanawane ulifanya vyema kabisa
 
Kumsema Dada yako kwa mzee wako ilikuwa ni Sahihi.

Tatizo linakuja ni Dada yako kufariki baada ya kipigo.

Jisamehe, chukulia ulifanya kitu kizuri kumsaidia, lakini bahati mbaya katika process hiyo akapoteza maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuchukia maisha yake yoote
 
Pole sana mkuu haya sisi wote ni wapitaji ...mm mwanangu wa kwanza alinitoka iliniuma mpaka leo inaniuma ila ni kuwaombea heri kwa Mungu...[emoji24][emoji24]
 
Aiseee binadamu hupitia mitihani...
Poleni sana
 
Niliwahi pita na nguruwe kwenye pikipiki mbele ya Msikiti dah tulichapana sana na madogo wa msikitini pale. Wakanizidia bahati raia wakajaa. Ila nilizongwa sana. Nilichapika sana
Ungemfungulia aingie kabisa msikitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…