Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 1,143
- 2,475
Bt umekumbuka nadhani sasa....! Kubali bs kwmb we ni mtamu sn nakuona hvyo.Huwa sigeuki nyuma nikawa nguzo ya chumvi.Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bt umekumbuka nadhani sasa....! Kubali bs kwmb we ni mtamu sn nakuona hvyo.Huwa sigeuki nyuma nikawa nguzo ya chumvi.Asante
Haya sawa,mwamko mwema mkuuBt umekumbuka nadhani sasa....! Kubali bs kwmb we ni mtamu sn nakuona hvyo.
Amen napokea, nawe pia.Haya sawa,mwamko mwema mkuu
We kaka umefanya nimecheka kwa nguvu mapema hii dahNiliwahi pita na nguruwe kwenye pikipiki mbele ya Msikiti dah tulichapana sana na madogo wa msikitini pale. Wakanizidia bahati raia wakajaa. Ila nilizongwa sana. Nilichapika sana
Dah! Ila Beesmom comment zako kiboko.Hufi labda uamue kufa
Ha ha haaDah! Ila Beesmom comment zako kiboko.
Hukufanya kosa lolote huna sababu ya kujihukimuMimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la tano na Dada yangu alikuwa kidato cha kwanza .siku moja Dada alitutoroka ndani akaenda kulala kwa mwanaume asubui saa 12 akarudi huku mzee hajui basi pale mimi so nikamsemelea kwa mzee aisee mzee alimtandika sister hadi akazimia Baadae akafufuka , kumbe Dada alikuwa na mimba kidogo Sasa kutoka na kipigo ile mimba ikaharibika Akapelekwa hospital daah aisee Dada akafariki hilo naumia hadi leo bora nisinge sema na Baba nae akafungwa Jela miak 9 bahati zuri alotolewa kwa msamaha wa Rais.
I like you attitude lady! 👍Ha ha haa
Bibi mwana sana. Huyo kamanda alizingua kwa upande mmoja. Lakini kwa upande wa pili hakuwa na namna.Kisa cha pili .....
Nikiwa nimemaliza form six , basi ikabidi nitoke dar niende kagera kumsabai bibi yangu , Bibi yangu alikuwa akiishi bukoba mjini mitaa ya town kabisa.
Sasa pale kwake alikuwa na vyumba kama kumi na nne, amevipangisha , hivyo ni kawaida mimi kuonana na wapangaji pindi nitokapo ndani .
Sasa katika wale wapangaji kuna mdada alikuwa amepanga na pia anaishi mwenyew tu , ila story za watu eti ni malaya na pia ameathirika na gonjwa la taifa .
Hata bibi aliniambia hivyo pia , ila siku zilivyozidi pale nyumbani Mazoea na wale wapangaji yalizidi , sasa yakawa yamezidi kwa huyu dada, anayeishi pekee yake , Bibi akaendelea kunikanya kuwa niwe mbali na huyo binti , kwanza kanizidi umri pia ana tabia za umalaya .
Dah shetani , msikie tu , si nikajikuta nishaingia kwenye mazoea na yule dada , mwisho nikawa usiku nafungua geti taratibu naenda nalala kwake, asubuhi na mapema narudi, maisha yakawa safi , ila moyoni nikawa sina amani tena maana nilikuwa napiga kavu , hivyo nikawa najua nishaathirika .
Penzi likanoga kwa siri , Bibi hajui kitu kuwa mjukuu nishaingia kwenye penzi la mpangaji japo baadhi ya wapangaji walijua.
Sasa usiku mmoja kulikuwepo na mechi ya Arsenal na man u , nikamueleza bibi naenda mpirani akasema hapana, si uangalizie hapa , nikagoma akakubali niende atanifungulia mageti.
Sasa kumbe mwenzake sina mpango wa kurudi nyumba kubwa nataka nilale na mchuchu wangu , dah kweli baada ya mechi nilikuwa very frustrated sababu chama langu , man u tulikula nyingi .
Nikasema Ngoja nikamalizie hasira kwa mpangaji wetu bila kuwaza kuwa tayari nina ngoma toka kwake , lahaura , kumbe masikini mbibi wa watu hajalala anawaza mjukuu wake mbona harudi ?
Mida ya saa saba nikasikia mlango wa nyumba kubwa umefunguliwa mda huo nipo juu ya kifua cha dada mpangaji , sasa nikawaza mda huu bibi anatafuta nini ?kumbe mbibi hajalala anamuwaza mjukuu wake , saa ngapi asimgongee mpangaji mmoja hivi amuulize wapi tunaangaliziaga mpira , mda huo nawasikia.
Mara ghafla nikawa siwasikii tena , kumbe yule mpangaji kauza ramani ya vita , kamchana bibi kuwa mpira ulishaisha ila anadhani nitakuwa chumba cha dada mpangaji maana uwa ananiona naingia usiku .
Bibi wa watu , upendo kwa mjukuu ukamzidi uwezo akagonga hodi kwenye chumba chetu, mdada akaanza kutetemeka ni nini afanye, mimi nimeinama nawaza aibu , naiweka wapi?
Mara mdada kafungua mlango , Bibi kaingia anafoka kwanini unataka kumuua mwanangu , mara akague huku mara kule, muda huo nimejificha kwenye vyombo , Bibi aliponiona akaanza kumpiga mdada na ndala kwanini unataka kumuua mwanangu, akitamka hivyo , mdada alivaa kanga tu , mara akakimbia nje
Mda huo nimevaa boksa na shati tu , Bibi alivomfuata nikavaa suruali Chapu, nikavaa sendo nikatoka nakimbia huku aibu , maana watu wameamka ili kuona ni nini kimetokea.
Nikawaza sana njiani sijui wapi naelekea mwisho nikasema siwezi kufa kizembe, nikaenda moja kwa moja mpaka sitende ya mabasi ya mkoani , pale nikakuta kama mchana hivi , fasta nikauliza kama naweza mpata wakala wa mpesa , nikampata.
Nilitoa elfu themanini, maana ilikuwa kwenye simu , nikakata tiketi kwa elfu hamsini na tano , bukoba kwenda dar , baada ya kupewa hela na nikaoneshwa basi, nilienda mle nikakaa nawaza mengi mpaka najionea aibu mwenyewe mda huo , Bibi anapiga simu sipokei mara nikazima.
Nilifika dar baada ya safari , nikakuta bibi alipiga simu anasema hajui alimuudhi nini mjukuu wake maana amekimbia nyumbani hayupo na hajaaga , dah bibi bwana ila hakusema nimefanya nini ?
Dah nilivoambiwa hivyo , nilijikuta nalia tu , nikaishia kusema nilimiss kurudi dar tu , ila moyoni najua bibi aliamua kuvunga ila baada ya siku kadhaa bibi , alinitafuta akanisihi nisirudie hiyo tabia na pia akaomba niende nikapime UKIMWI , alafu nimpe majibu , kweli nilipima nikajikuta negative .
Dah nilipomwambia bibi alifurahi sana , mpaka nikamsikia analia kwenye simu Ila yule Demu sikumtafutaga tena .
Dah bibi yangu mpaka leo ananipenda sana na hajawahi kunitobolea siri hii
Dah wewe mdada kama uko humu nisamehe bure ulikuwa ujana ndiyo maana sijawah kukutafta
You're welcomeI like you attitude lady! 👍
Watoto wa kiume huwa tuna wivu sana na dada zetuMimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la tano na Dada yangu alikuwa kidato cha kwanza .siku moja Dada alitutoroka ndani akaenda kulala kwa mwanaume asubui saa 12 akarudi huku mzee hajui basi pale mimi so nikamsemelea kwa mzee aisee mzee alimtandika sister hadi akazimia Baadae akafufuka , kumbe Dada alikuwa na mimba kidogo Sasa kutoka na kipigo ile mimba ikaharibika Akapelekwa hospital daah aisee Dada akafariki hilo naumia hadi leo bora nisinge sema na Baba nae akafungwa Jela miak 9 bahati zuri alotolewa kwa msamaha wa Rais.
Fumanizi kiboko!!Kisa cha pili .....
Nikiwa nimemaliza form six , basi ikabidi nitoke dar niende kagera kumsabai bibi yangu , Bibi yangu alikuwa akiishi bukoba mjini mitaa ya town kabisa.
Sasa pale kwake alikuwa na vyumba kama kumi na nne, amevipangisha , hivyo ni kawaida mimi kuonana na wapangaji pindi nitokapo ndani .
Sasa katika wale wapangaji kuna mdada alikuwa amepanga na pia anaishi mwenyew tu , ila story za watu eti ni malaya na pia ameathirika na gonjwa la taifa .
Hata bibi aliniambia hivyo pia , ila siku zilivyozidi pale nyumbani Mazoea na wale wapangaji yalizidi , sasa yakawa yamezidi kwa huyu dada, anayeishi pekee yake , Bibi akaendelea kunikanya kuwa niwe mbali na huyo binti , kwanza kanizidi umri pia ana tabia za umalaya .
Dah shetani , msikie tu , si nikajikuta nishaingia kwenye mazoea na yule dada , mwisho nikawa usiku nafungua geti taratibu naenda nalala kwake, asubuhi na mapema narudi, maisha yakawa safi , ila moyoni nikawa sina amani tena maana nilikuwa napiga kavu , hivyo nikawa najua nishaathirika .
Penzi likanoga kwa siri , Bibi hajui kitu kuwa mjukuu nishaingia kwenye penzi la mpangaji japo baadhi ya wapangaji walijua.
Sasa usiku mmoja kulikuwepo na mechi ya Arsenal na man u , nikamueleza bibi naenda mpirani akasema hapana, si uangalizie hapa , nikagoma akakubali niende atanifungulia mageti.
Sasa kumbe mwenzake sina mpango wa kurudi nyumba kubwa nataka nilale na mchuchu wangu , dah kweli baada ya mechi nilikuwa very frustrated sababu chama langu , man u tulikula nyingi .
Nikasema Ngoja nikamalizie hasira kwa mpangaji wetu bila kuwaza kuwa tayari nina ngoma toka kwake , lahaura , kumbe masikini mbibi wa watu hajalala anawaza mjukuu wake mbona harudi ?
Mida ya saa saba nikasikia mlango wa nyumba kubwa umefunguliwa mda huo nipo juu ya kifua cha dada mpangaji , sasa nikawaza mda huu bibi anatafuta nini ?kumbe mbibi hajalala anamuwaza mjukuu wake , saa ngapi asimgongee mpangaji mmoja hivi amuulize wapi tunaangaliziaga mpira , mda huo nawasikia.
Mara ghafla nikawa siwasikii tena , kumbe yule mpangaji kauza ramani ya vita , kamchana bibi kuwa mpira ulishaisha ila anadhani nitakuwa chumba cha dada mpangaji maana uwa ananiona naingia usiku .
Bibi wa watu , upendo kwa mjukuu ukamzidi uwezo akagonga hodi kwenye chumba chetu, mdada akaanza kutetemeka ni nini afanye, mimi nimeinama nawaza aibu , naiweka wapi?
Mara mdada kafungua mlango , Bibi kaingia anafoka kwanini unataka kumuua mwanangu , mara akague huku mara kule, muda huo nimejificha kwenye vyombo , Bibi aliponiona akaanza kumpiga mdada na ndala kwanini unataka kumuua mwanangu, akitamka hivyo , mdada alivaa kanga tu , mara akakimbia nje
Mda huo nimevaa boksa na shati tu , Bibi alivomfuata nikavaa suruali Chapu, nikavaa sendo nikatoka nakimbia huku aibu , maana watu wameamka ili kuona ni nini kimetokea.
Nikawaza sana njiani sijui wapi naelekea mwisho nikasema siwezi kufa kizembe, nikaenda moja kwa moja mpaka sitende ya mabasi ya mkoani , pale nikakuta kama mchana hivi , fasta nikauliza kama naweza mpata wakala wa mpesa , nikampata.
Nilitoa elfu themanini, maana ilikuwa kwenye simu , nikakata tiketi kwa elfu hamsini na tano , bukoba kwenda dar , baada ya kupewa hela na nikaoneshwa basi, nilienda mle nikakaa nawaza mengi mpaka najionea aibu mwenyewe mda huo , Bibi anapiga simu sipokei mara nikazima.
Nilifika dar baada ya safari , nikakuta bibi alipiga simu anasema hajui alimuudhi nini mjukuu wake maana amekimbia nyumbani hayupo na hajaaga , dah bibi bwana ila hakusema nimefanya nini ?
Dah nilivoambiwa hivyo , nilijikuta nalia tu , nikaishia kusema nilimiss kurudi dar tu , ila moyoni najua bibi aliamua kuvunga ila baada ya siku kadhaa bibi , alinitafuta akanisihi nisirudie hiyo tabia na pia akaomba niende nikapime UKIMWI , alafu nimpe majibu , kweli nilipima nikajikuta negative .
Dah nilipomwambia bibi alifurahi sana , mpaka nikamsikia analia kwenye simu Ila yule Demu sikumtafutaga tena .
Dah bibi yangu mpaka leo ananipenda sana na hajawahi kunitobolea siri hii
Dah wewe mdada kama uko humu nisamehe bure ulikuwa ujana ndiyo maana sijawah kukutafta
Aisee ulifanya poa sana ata mzee nae alifanya poa sana ila dola ndio inasababisha uzinzi uendelee. Sasa mzee anafungwa kwa sababu gani? Mtu analinda jina la familia eti mnamswenka jela. Upuuzi mtupu.Mimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la tano na Dada yangu alikuwa kidato cha kwanza .siku moja Dada alitutoroka ndani akaenda kulala kwa mwanaume asubui saa 12 akarudi huku mzee hajui basi pale mimi so nikamsemelea kwa mzee aisee mzee alimtandika sister hadi akazimia Baadae akafufuka , kumbe Dada alikuwa na mimba kidogo Sasa kutoka na kipigo ile mimba ikaharibika Akapelekwa hospital daah aisee Dada akafariki hilo naumia hadi leo bora nisinge sema na Baba nae akafungwa Jela miak 9 bahati zuri alotolewa kwa msamaha wa Rais.
Kumsema Dada yako kwa mzee wako ilikuwa ni Sahihi.Mimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la tano na Dada yangu alikuwa kidato cha kwanza .siku moja Dada alitutoroka ndani akaenda kulala kwa mwanaume asubui saa 12 akarudi huku mzee hajui basi pale mimi so nikamsemelea kwa mzee aisee mzee alimtandika sister hadi akazimia Baadae akafufuka , kumbe Dada alikuwa na mimba kidogo Sasa kutoka na kipigo ile mimba ikaharibika Akapelekwa hospital daah aisee Dada akafariki hilo naumia hadi leo bora nisinge sema na Baba nae akafungwa Jela miak 9 bahati zuri alotolewa kwa msamaha wa Rais.
Angekuchukia maisha yake yooteMimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la tano na Dada yangu alikuwa kidato cha kwanza .siku moja Dada alitutoroka ndani akaenda kulala kwa mwanaume asubui saa 12 akarudi huku mzee hajui basi pale mimi so nikamsemelea kwa mzee aisee mzee alimtandika sister hadi akazimia Baadae akafufuka , kumbe Dada alikuwa na mimba kidogo Sasa kutoka na kipigo ile mimba ikaharibika Akapelekwa hospital daah aisee Dada akafariki hilo naumia hadi leo bora nisinge sema na Baba nae akafungwa Jela miak 9 bahati zuri alotolewa kwa msamaha wa Rais.
Pole sana mkuu haya sisi wote ni wapitaji ...mm mwanangu wa kwanza alinitoka iliniuma mpaka leo inaniuma ila ni kuwaombea heri kwa Mungu...[emoji24][emoji24]KIFO CHA MWANANGU SUCCESS
Alikuwa na sickle cell so damu kwake lilikuwa tatzo na sjui ugonjwa huo aliupata wp. Sku moja jion nikiwa nimetulia ndan akaja ndan kama anaugulia vile nkamwambia panda ktandan ulale, akapanda mi nikajiandaa nkatoka mama ake hakuwepo. Nakumbuka nlirud kwny saa nne usku nikakuta analia sn analalama kama ana maumivu ya tumbo kumulza mama ake anasema amerud jion kakuta mtoto amelala nje kwny mkeka analia ndo mpk mda huo aisee nlishangaa why hakumpeleka hsptl hapo imefka saa 6 usku hakika hatukulala na wala mtoto hakulala tuliamka alfajiri mama ake nkamsndkza akapanda gari to hsptl, wakalazwa mama ake alinitafuta mchana akasema niende wanpime damu ili mtoto aongezewe kwan damu yake haipo,nkamwambia muda huo n ngumu,bs wakapelekwa muhimbili sjui ilikuaje ila walimuwekea damu ghafla magpo ya moyo yakabadilika wakaichomoa,at last mtoto alivimba macho sku macho yamekaa level kesho yake mwanangu alifariki mpk leo huwa namlilia mtoto wng na hata hp naandka huku naumia sn. Forgive me SUCCESS.
but ukiona short cut itumie maana hakun tuzo ya mtesekaj bora kwny maishaSiku zote Short Cut is wrong cut, weka hilo kichwani.
Kila unalofanya lazima matokeo yake yakurudie.
Poleni sana.Pole sana mkuu haya sisi wote ni wapitaji ...mm mwanangu wa kwanza alinitoka iliniuma mpaka leo inaniuma ila ni kuwaombea heri kwa Mungu...[emoji24][emoji24]
Aiseee binadamu hupitia mitihani...Mimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la tano na Dada yangu alikuwa kidato cha kwanza .siku moja Dada alitutoroka ndani akaenda kulala kwa mwanaume asubui saa 12 akarudi huku mzee hajui basi pale mimi so nikamsemelea kwa mzee aisee mzee alimtandika sister hadi akazimia Baadae akafufuka , kumbe Dada alikuwa na mimba kidogo Sasa kutoka na kipigo ile mimba ikaharibika Akapelekwa hospital daah aisee Dada akafariki hilo naumia hadi leo bora nisinge sema na Baba nae akafungwa Jela miak 9 bahati zuri alotolewa kwa msamaha wa Rais.
Ungemfungulia aingie kabisa msikitiniNiliwahi pita na nguruwe kwenye pikipiki mbele ya Msikiti dah tulichapana sana na madogo wa msikitini pale. Wakanizidia bahati raia wakajaa. Ila nilizongwa sana. Nilichapika sana