gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Tatizo wengi wanakutana na watu humu mtandaoni wanakuwa na aidha utoto au ujinga kudhani kila aliyehumu ni wako nao sawa, kielimu, kimaisha na ki umri.Lakini ukiweka CCM pembeni bado kichwani Zina chaji.
We see things differently, let’s agree to disagreeKama ni hivo basi katutowa kwenye neema na kutudidimiza kizani.
Uislam ni mwema sana.
Hebu toa unanii wako hapaaa.AlhamduliLlah.
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.Hebu toa unanii wako hapaaa.
Miaka hiyo ya 60 kama unakumbuka mambo makubwa kama haya jua ulikua na umri wa miaka 10+ means ulizaliwa 50’s.Haya mpaka leo ni 24 means una 74 yrs. Suprisingly unasema unaitafuta 70!.
Hii story umekopy umeshindwa hata kuedit bibi wewe.
Hujaelewa nini, Shule mlienda kujifunza ujinga nini?Wakati Kariakoo siyo Tanzania. Au sijakuelewa?
Yaleyale kumdogosha nyerere.. kwamba alikuwa mvuta fegiHii video clip nilipokuwa naisikiliza mwili ulikuwa unanisisimka, nikakumbuka utoto miaka ya mwanzo ya 60 pale kwetu Lumumba na wazee niliokua nawaona pale wakija ofisi ya TANU na Nyerere akiwemo, sio Nyerere wa sasa, kijana kabisa mtanashati, Namkumbuka kwa sababu sigara akinunuwa dukani kwetu na akifahamiana sana na shangazi yangu hapo nyumbani, Mrehemu bi Mariam, na mdogo wake amabe ni mjombangu. Alikua kidogo zimemzidi sana. Mwenyezi Mungu amrehemu maarufu "Mjomba Husseni".
Dah, nimemkumbuka mpaka Mzee Amri na sauti lake kama ana makohozi mdomoni, pale jirani yetu kwa mtaa wa udoe. Nakumbuka akianika betri kama za pikipiki zamani ndio za redio yake.
Jioneeni hii video, sitaki kuongeza langu kwa sasa. Naomba Alama Alama Mohamed Said aje mwenyewe kupanguwa risasi, maana najuwa huku kuna watu kwao, nyerere ndiyo kama mungu wao wa duniani:
View: https://youtu.be/JNxS7UpEIRo?si=0ke-vQap9jevRc03
Hii habari nzito sana.
Mjinga kweli wewe, ukumbuke ukinyonya with Two years wakati hata kuongea ulikua huwezi.Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Jambo lipi kubwa nililoliandika la kufanya nilisahau? Nyerere kununuwa sigara kwetu au kuwasahau wazee wangu?
Mimi nakumbuka hata nilivyokua nanyonya kifuani kwa mamangu.
Sina akili za kipoyoyo kama wewe.
Hizi story inabidi ziletwe na mabilionea, inaniuma sana mtu ambaye hana maisha anakumbushia mambo yasiyo ya maana. Nakumbuka kipindi fulani nilienda Zanzibar kuna jamaa hana maisha ananiambia alizaliwa mahala palipo Tembo hotel na baada ya mapinduzi familia yao ilinyanganywa jengo. Jamaa alitoa hadi ushahidi wa picha zake za utototni nikabaki ninacheka .Muda haurudi nyuma kama wewe unataka kuthaminiwa na kuheshimiwa na jamii pambana na ufike juu. Lakini masuala ya kukumbushia kuwa mlikuwa juu au kuna mtu alikuwa juu ni ujinga.Hii video clip nilipokuwa naisikiliza mwili ulikuwa unanisisimka, nikakumbuka utoto miaka ya mwanzo ya 60 pale kwetu Lumumba na wazee niliokua nawaona pale wakija ofisi ya TANU na Nyerere akiwemo, sio Nyerere wa sasa, kijana kabisa mtanashati, Namkumbuka kwa sababu sigara akinunuwa dukani kwetu na akifahamiana sana na shangazi yangu hapo nyumbani, Mrehemu bi Mariam, na mdogo wake amabe ni mjombangu. Alikua kidogo zimemzidi sana. Mwenyezi Mungu amrehemu maarufu "Mjomba Husseni".
Dah, nimemkumbuka mpaka Mzee Amri na sauti lake kama ana makohozi mdomoni, pale jirani yetu kwa mtaa wa udoe. Nakumbuka akianika betri kama za pikipiki zamani ndio za redio yake.
Jioneeni hii video, sitaki kuongeza langu kwa sasa. Naomba Alama Alama Mohamed Said aje mwenyewe kupanguwa risasi, maana najuwa huku kuna watu kwao, nyerere ndiyo kama mungu wao wa duniani:
View: https://youtu.be/JNxS7UpEIRo?si=0ke-vQap9jevRc03
Hii habari nzito sana.
Na hili nalo mkalitazameKama ni hivo basi katutowa kwenye neema na kutudidimiza kizani.
Uislam ni mwema sana.
Ulisisimka sana mpaka ikulu nako ilinyesha utonvu?Hii video clip nilipokuwa naisikiliza mwili ulikuwa unanisisimka, nikakumbuka utoto miaka ya mwanzo ya 60 pale kwetu Lumumba na wazee niliokua nawaona pale wakija ofisi ya TANU na Nyerere akiwemo, sio Nyerere wa sasa, kijana kabisa mtanashati, Namkumbuka kwa sababu sigara akinunuwa dukani kwetu na akifahamiana sana na shangazi yangu hapo nyumbani, Mrehemu bi Mariam, na mdogo wake amabe ni mjombangu. Alikua kidogo zimemzidi sana. Mwenyezi Mungu amrehemu maarufu "Mjomba Husseni".
Dah, nimemkumbuka mpaka Mzee Amri na sauti lake kama ana makohozi mdomoni, pale jirani yetu kwa mtaa wa udoe. Nakumbuka akianika betri kama za pikipiki zamani ndio za redio yake.
Jioneeni hii video, sitaki kuongeza langu kwa sasa. Naomba Alama Alama Mohamed Said aje mwenyewe kupanguwa risasi, maana najuwa huku kuna watu kwao, nyerere ndiyo kama mungu wao wa duniani:
View: https://youtu.be/JNxS7UpEIRo?si=0ke-vQap9jevRc03
Hii habari nzito sana.
Tumeisika hiyo clip , haina lolote la maana, kwa sababu wakati wengine wanapigania uhuru wa watu wote wa Tanganyika, watu wasio na upeo kuona mbali kama huyo Takadiri, mwislamu mbaguzi alikuwa na malengo ya Islamic state, tena amesema mwenyewe, "hatatusaidia huyu, atasaidia wenzake".Hii video clip nilipokuwa naisikiliza mwili ulikuwa unanisisimka, nikakumbuka utoto miaka ya mwanzo ya 60 pale kwetu Lumumba na wazee niliokua nawaona pale wakija ofisi ya TANU na Nyerere akiwemo, sio Nyerere wa sasa, kijana kabisa mtanashati, Namkumbuka kwa sababu sigara akinunuwa dukani kwetu na akifahamiana sana na shangazi yangu hapo nyumbani, Mrehemu bi Mariam, na mdogo wake amabe ni mjombangu. Alikua kidogo zimemzidi sana. Mwenyezi Mungu amrehemu maarufu "Mjomba Husseni".
Dah, nimemkumbuka mpaka Mzee Amri na sauti lake kama ana makohozi mdomoni, pale jirani yetu kwa mtaa wa udoe. Nakumbuka akianika betri kama za pikipiki zamani ndio za redio yake.
Jioneeni hii video, sitaki kuongeza langu kwa sasa. Naomba Alama Alama Mohamed Said aje mwenyewe kupanguwa risasi, maana najuwa huku kuna watu kwao, nyerere ndiyo kama mungu wao wa duniani:
View: https://youtu.be/JNxS7UpEIRo?si=0ke-vQap9jevRc03
Hii habari nzito sana.
Very myopic!Tatizo watu wa kariakoo wanaamini Tanzania ni kariakoo.
Inside..Yaleyale kumdogosha nyerere.. kwamba alikuwa mvuta fegi
Etu...Mwamba Takadiri Allah amrehemu
Wivu tu kwa vile aliwazidi wazee wao mambo nengi sana kuelimu, maarifa na hekimaHuwa najiuliza kwa nini waislamu mnamchukia nyerere, sipati majibu