Kisa Kizito cha Mzee aliyemnyooshea Bakora Mwalimu Nyerere

Bora na wewe umeona hii issue.

Jaribu kumrai mzee Mohamed Said aandike zaidi vitabu vya historia ya uhuru wa Tanganyika.

Tumelishwa matangopori hadi tunashiriki laana ya kupuuzia jasho la wale walioasisi harakati za uhuru wetu.
 
Bora na wewe umeona hii issue.

Jaribu kumrai mzee Mohamed Said aandike zaidi vitabu vya historia ya uhuru wa Tanganyika.

Tumelishwa matangopori hadi tunashiriki laana ya kupuuzia jasho la wale walioasisi harakati za uhuru wetu.
Nimeliona nini? Wacha ukondoo kwa kucheza na maneno.

Kuna anaeiandika historia ya ukweli ya uhuru wa Tanganyika zaidi ya Alama Mohamed Said?

Hata mada hii nimeianzisha kwa kujona na ajili ya hiyo video yake , ipo post namba moja.

Au data mpaka shemeji arudi kazini awashe hotspot yake?
 
Lait ungenielewa usingelazimisha ushabiki wa kizayuni
 
Mt. 23:9Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
Acha kukariri kama kasuku wewe msifikiri biblia imeandikwa na wewe unakariri huwa ina mafumbo kwa hiyo baba yako anayekuzaa huwezi kumuita Baba kwasababu tu kuna baba wa Mbinguni.
Haya basi baba yako utamwita mama au mjomba?.
Ndio maana mimi namuabudu mungu sana ila vitu vingine akili kichwani kwangu
 
Lait ungenielewa usingelazimisha ushabiki wa kizayuni
Unaeleweka kwa maandiko yako tu. Sina haja wala sababu ya kuelewa wewe ni nani.

Usilete usanii wa maneno. Nimezaliwa na kukulia kariakoo.
 

Fumboi hufumbiwa mjinga.

Mt. 23:9Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
 
Swadakta.
Nimeshangaa bibie Faiza Foxy kunishambulia ilihali mimi ni Mtanganyika anayeutafuta ukweli wa Uhuru wetu.

Historia tuliyosoma mashuleni kuhusu uhuru imepikwa kumpa mtu mmoja utukufu wakati kuna watu walijitoa kwa kila hali ili Tanganyika iwe huru.

Usiache kuandika na kusema hadi historia ikae sawa. Kuna akina mzee Tambaza na wengineo tuwafahamu na uhusika wao kwenye safari ya Tanganyika huru
 
Dini ni bangi kwa binadamu asiyejielewa. Huyu babu Mohamed Said ana uraibu wa dini kama mvuta bangi tu
 
Kumbe malalamiko ya kwamba waislamu hawajasoma yapo tangu enzi na enzi..!! Maana inaonyesha sababu ya kutotaka kupiga kura kwa namna ile iliyosemwa na Nyerere, ni ile hali ya wao kutosoma, na waislamu wenyewe walilitambua hilo..!!

Nikuulize haya;
1. Hao walikuwa wanamtenga huyo 'MTAKA DINI', hakukuwa na waislamu..!!??? Au walikuwa wakristo pekee..!!???

2. Huoni kwamba kwa watu wote kukubali kumtenga bwana 'MTAKA DINI', Nyerere alikuwa na nguvu sana kiasi cha hata waislamu wenyewe kumkubali?

3. Na hao waislamu waliokubali kumtenga bwana 'MTAKA DINI', walimtazama Nyerere kama 'Mungu' wao.!!?? Au wakristo pekee ndo walimtazama Nyerere kama 'Mungu' wao..!!??

Hata kama Mohamed Said naye ana majibu ya maswali haya, namwomba anipe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…