KISA: Mwenye nyumba na wapangaji wenzangu walidhani mimi ni jambazi, siku walipojua kazi yangu walishangaa

Vipi unataka pikipiki ya mkataba au utakaa hivihivo bila kazi unategemea ugali wa baba ako
Acha makasiriko
Wewe ni bodaboda ndio maana mpaka sasa unawaza jinsi gani uendelee kudanganya kwa huu uharo wako uliodai utaendelea NB lazima nitegemee ugali wa baba yangu kwasababu mimi ni mwanae
 
Kwanza jifunze kuandika Kiswahili sahihi mara "kuamishwa" "kuamia" ndio maneno gani haya!
 
We ni bure kabisa, kuandika story ni kipaji km huna usilazimishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…