KISA: Mwenye nyumba na wapangaji wenzangu walidhani mimi ni jambazi, siku walipojua kazi yangu walishangaa

KISA: Mwenye nyumba na wapangaji wenzangu walidhani mimi ni jambazi, siku walipojua kazi yangu walishangaa

Hii tabia alikuwa nayo mshikaji wangu huwezi kumkuta kavaa sare za kazini .yy siku zote ni jezi za Sk na begi lake
 
Code nyepesi sana hizi:

Huna ndevu
Unavaa jezi juu chini track
Uniform unazivalia kazini
Una shift ya usiku/asubuhi

Skia bwana mdogo, wewe private wa JWTZ na mshahara wako ni 900k.

Halafu mbona huondoki?, au jina limekatwa safari ya Kongo.
Mshahara ni laki nane
 
Chumba cha 25k/month hilo geto si ni ovyo kabisa hii stori siwezi kupoteza muda kusoma
 
Back
Top Bottom