Kisa niko nae mbali mwaka wa pili huu licha ya kuzaa nae ameamua kubeba mimba na mwanaume mwengine!

Sergio69

Senior Member
Joined
Mar 12, 2025
Posts
156
Reaction score
274
Licha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu

Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.

Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
 
M

Maaaaamae, tulishakuambia usimwamini mwanamke ona Sasa unaenda kujiua mwenyewe
 
Pole sana kamanda...
Hebu jibu haya tujue tunaanzia wap kukufariji. Na ujue shida ni nini

-Ulimuoa kabla ya kwenda kutafuta maisha?--Kwan Miaka yote miwili haujawah kuonana nae ila ni mawasiliano tu?.
- ulikuwa unamtunza ?
 
Licha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu

Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.

Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
Yesu anaweza kukusaidia. Anakuita sasa
Mathayo 11:28-30
“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha."
 
Licha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu

Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.

Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
Kataa ndoa yanalogota point hapa tena!
 
Tafuta msaada wa kisaikolojia, pole sana kwa mapito.
 
Miaka yote hiyo, muda huo unamtosha mwanamke kubeba mimba, kujifungua na mtoto kutembea kabisa.....

Ulikua unampotezea muda tu
We endelea kutafuta siku ukipata utakamatia mwingine
Lakini pia ungeelewa ukitoa ngono nilikuwa nazingatia kila kitu kuhusu yeye na mtoto wetu hata kama angekua anachepuka safi tu ila sio kubeba na mimba kabisa
 
Back
Top Bottom