Kisa niko nae mbali mwaka wa pili huu licha ya kuzaa nae ameamua kubeba mimba na mwanaume mwengine!

Hahahaha mimi siombei nikja kuoa mtafaruko na mke wangu

Ila watoto wangu daah 😂 wabaki kwangu bhn

Ila nimekuelewa Bora kubaki kwenu, ni wanawake wachache sana wataacha watoto wateseke, Ila walio wengi watafokasi na watoto.
Usimnyang'anye mke watoto kwa kumkomoa. Tuseme tu ukweli watoto wakiwa wadogo wanamuhitaji mama zaidi. So kama mama yao anawalea vizuri unamwachia tu huku wewe ukiwa unawaona mara kwa mara. Usiondoe bond iliyopo kati yako na watoto wako. Jinsi wanavyokua wanaweza kuhamia kwako taratibu bila maugomvi.
 
Kumbe ukipenda na ukitaka kuoa Unaitwa zuzu ?
Uzuzu sio kupenda na kutaka kuoa, uzuzu ni kuyavagaa majukumu uliyo anzisha na kutokomea kusiko julikana huo ni uzuzu au uzwazwa

Naomba nieleweke vizuri sikuterekeza majukumu yangu na mpaka leo hii natoa mahitaji kama baba wa familia japo ana mimba ya mwanaume mwingine na sidhan kama nitaweza kuacha kutoa mahitaji kwaajili ya dam yangu sijaumbwa hvyo, thats all!
 
Usimnyang'anye mke watoto kwa kumkomoa. Tuseme tu ukweli watoto wakiwa wadogo wanamuhitaji mama zaidi. So kama mama yao anawalea vizuri unamwachia tu huku wewe ukiwa unawaona mara kwa mara. Usiondoe bond iliyopo kati yako na watoto wako. Jinsi wanavyokua wanaweza kuhamia kwako taratibu bila maugomvi.
Hapana siwezi mkomoa maybe aolewe ndo nione lkn km haolewi nitaona inavyofaa

Though watoto wanawahitaji zaidi mama
 
SI unget
Licha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu

Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.

Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
Oa kizazii tuache kwanza pls
 
wenzio wanatoa kizaz unawaachia wamwage wasafishee
 
Anaweza akagongwa lakini sio kubeba mimba thats too much
Kugongwa sindio kunapelekea mimba!
Kubaliana na hali,miaka miwili ni mingi sana.Funga huo ukurasa,utapata mwingine ukiwa tayari umejipanga
 
Wengi wana gongewa na wapo na wenza wao kila

Ni tabia tu ya mtu unaweza kua nae karibu ukampa vyote na waka kugongea tu vile vile.
Upo sahihi lakini pia umbali unachangia pia. Sasa miaka miwili unataka mtu apate huduma wapi?
 
Licha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu

Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.

Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
Mh kazi kweli kweli pole
 
😂😂😂
 
Back
Top Bottom