Kisa niko nae mbali mwaka wa pili huu licha ya kuzaa nae ameamua kubeba mimba na mwanaume mwengine!

Wee nenda kaleee watoto wooote kutanda hazai haramu, akibisha mlee na bwana ake kwani sh ngapi anakuumiza kichwa
 
Yaan mtu akae two yrs kukusubiri sioni haja ikiwa hakuwa mkeo, chukua mwanao fanya maisha mengine,

Nisisikie umejinyonga kisa mapenzi
 
Licha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu

Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.

Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
Yaani kumbukumbu za mipango tu? na sio mambo mliyofanya ndo yakuumize hiyo mipangp si ukamilishe na mwingine
 
Licha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu

Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.

Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
Kama ulikuwa serious ulitakiwa umuoe mapema. Nyie ndo mnatengeneza single mothers. Bora umepigwa.
 
Yaan mtu akae two yrs kukusubiri sioni haja ikiwa hakuwa mkeo, chukua mwanao fanya maisha mengine,

Nisisikie umejinyonga kisa mapenzi
Amchukue mwanae ampeleke wapi? Inategemea na umri wa mtoto.
Mtu kama hajaoa hana hiyo nguvu ya kumchukua mtoto, mtoto ni wa mama hata mahakama inajua.
Awe mpole tu walee mtoto wao pamoja, kunyang'anyana mtoto ni mambo ya ajabu.
 
Sijasema amchukue Ila kumchukua mtoto ni maridhiano tuu ya wazazi sioni kinachoharibika hapo,

Japo mara nyingi wanataka akae na mama,
 
Mtoto mdogo anahitaji mama zaidi. Akiwa mkubwa anajitambua ataenda kwa baba
 
🤣"ushauri wangu Kisaikologia" nenda veta kwanza ukajifunze mapigo
 
Ahaaaa kumbe, hata me najua hivyo

Kwann wakati mwingine mnagoma kutoa watoto hata wakiwa abv 7yrs ?
Mimi ni mmoja wao😅😅. Mtoto wangu wa kike simuachii. Hata hivyo nilikuwa na sababu inayoeleweka...baba mtoto hakuwa na mbele wala nyuma. Hana makazi, hana ajira kwa kweli nisingeweza kumuacha mwanangu kwa yule boya😅😅
Ila kwa baba anayejitambua ningeweza kumuacha kama umri unaruhusu.
 
Hahahaha mimi siombei nikja kuoa mtafaruko na mke wangu

Ila watoto wangu daah 😂 wabaki kwangu bhn

Ila nimekuelewa Bora kubaki kwenu, ni wanawake wachache sana wataacha watoto wateseke, Ila walio wengi watafokasi na watoto.
 
Sijui kwanini wengi wamekudhihaki wakati hili ni jambo lililobeba hisia na maumivu mengi.

Mimi nakuelewa, naelewa hasa unachopitia na maumivu uliyoyabeba. Pole sana Mkuu.

Katika hili, mwenzio ameshakata shauri la kutokuendelea na wewe kimahusiano. Usijaribu kwa namna yoyote kuendelea kubaki naye, atakuja kufanya makubwa zaidi ya hilo.

Narudia, pole sana. Lichukulie hili kama changamoto katika maisha, yapokee maumivu na usonge mbele.
Nimekuelewa kwa sauti kubwa sana ndugu
 
Back
Top Bottom