D3F4ULT
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 400
- 820
Another satisfied customer😎Licha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu
Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.
Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.