Maaaaamae, tulishakuambia usimwamini mwanamke ona Sasa unaenda kujiua mwenyeweLicha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu
Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.
Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
DoneMiaka yote hiyo, muda huo unamtosha mwanamke kubeba mimba, kujifungua na mtoto kutembea kabisa.....
Ulikua unampotezea muda tu
We endelea kutafuta siku ukipata utakamatia mwingine
Yesu anaweza kukusaidia. Anakuita sasaLicha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu
Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.
Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
Kataa ndoa yanalogota point hapa tena!Licha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu
Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.
Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
Tafuta msaada wa kisaikolojia, pole sana kwa mapito.Licha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu
Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.
Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
Lakini pia ungeelewa ukitoa ngono nilikuwa nazingatia kila kitu kuhusu yeye na mtoto wetu hata kama angekua anachepuka safi tu ila sio kubeba na mimba kabisaMiaka yote hiyo, muda huo unamtosha mwanamke kubeba mimba, kujifungua na mtoto kutembea kabisa.....