Kisa niko nae mbali mwaka wa pili huu licha ya kuzaa nae ameamua kubeba mimba na mwanaume mwengine!

Wee nenda kaleee watoto wooote kutanda hazai haramu, akibisha mlee na bwana ake kwani sh ngapi anakuumiza kichwa
 
Yaan mtu akae two yrs kukusubiri sioni haja ikiwa hakuwa mkeo, chukua mwanao fanya maisha mengine,

Nisisikie umejinyonga kisa mapenzi
 
Yaani kumbukumbu za mipango tu? na sio mambo mliyofanya ndo yakuumize hiyo mipangp si ukamilishe na mwingine
 
Kama ulikuwa serious ulitakiwa umuoe mapema. Nyie ndo mnatengeneza single mothers. Bora umepigwa.
 
Yaan mtu akae two yrs kukusubiri sioni haja ikiwa hakuwa mkeo, chukua mwanao fanya maisha mengine,

Nisisikie umejinyonga kisa mapenzi
Amchukue mwanae ampeleke wapi? Inategemea na umri wa mtoto.
Mtu kama hajaoa hana hiyo nguvu ya kumchukua mtoto, mtoto ni wa mama hata mahakama inajua.
Awe mpole tu walee mtoto wao pamoja, kunyang'anyana mtoto ni mambo ya ajabu.
 
Sijasema amchukue Ila kumchukua mtoto ni maridhiano tuu ya wazazi sioni kinachoharibika hapo,

Japo mara nyingi wanataka akae na mama,
 
Sijasema amchukue Ila kumchukua mtoto ni maridhiano tuu ya wazazi sioni kinachoharibika hapo,

Japo mara nyingi wanataka akae na mama,
Mtoto mdogo anahitaji mama zaidi. Akiwa mkubwa anajitambua ataenda kwa baba
 
๐Ÿคฃ"ushauri wangu Kisaikologia" nenda veta kwanza ukajifunze mapigo
 
Ahaaaa kumbe, hata me najua hivyo

Kwann wakati mwingine mnagoma kutoa watoto hata wakiwa abv 7yrs ?
Mimi ni mmoja wao๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…. Mtoto wangu wa kike simuachii. Hata hivyo nilikuwa na sababu inayoeleweka...baba mtoto hakuwa na mbele wala nyuma. Hana makazi, hana ajira kwa kweli nisingeweza kumuacha mwanangu kwa yule boya๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Ila kwa baba anayejitambua ningeweza kumuacha kama umri unaruhusu.
 
Hahahaha mimi siombei nikja kuoa mtafaruko na mke wangu

Ila watoto wangu daah ๐Ÿ˜‚ wabaki kwangu bhn

Ila nimekuelewa Bora kubaki kwenu, ni wanawake wachache sana wataacha watoto wateseke, Ila walio wengi watafokasi na watoto.
 
Nimekuelewa kwa sauti kubwa sana ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ