Usimnyang'anye mke watoto kwa kumkomoa. Tuseme tu ukweli watoto wakiwa wadogo wanamuhitaji mama zaidi. So kama mama yao anawalea vizuri unamwachia tu huku wewe ukiwa unawaona mara kwa mara. Usiondoe bond iliyopo kati yako na watoto wako. Jinsi wanavyokua wanaweza kuhamia kwako taratibu bila maugomvi.Hahahaha mimi siombei nikja kuoa mtafaruko na mke wangu
Ila watoto wangu daah π wabaki kwangu bhn
Ila nimekuelewa Bora kubaki kwenu, ni wanawake wachache sana wataacha watoto wateseke, Ila walio wengi watafokasi na watoto.
Uzuzu sio kupenda na kutaka kuoa, uzuzu ni kuyavagaa majukumu uliyo anzisha na kutokomea kusiko julikana huo ni uzuzu au uzwazwaKumbe ukipenda na ukitaka kuoa Unaitwa zuzu ?
Nimejifunza kituLiar....jf men all are liars
Hapana siwezi mkomoa maybe aolewe ndo nione lkn km haolewi nitaona inavyofaaUsimnyang'anye mke watoto kwa kumkomoa. Tuseme tu ukweli watoto wakiwa wadogo wanamuhitaji mama zaidi. So kama mama yao anawalea vizuri unamwachia tu huku wewe ukiwa unawaona mara kwa mara. Usiondoe bond iliyopo kati yako na watoto wako. Jinsi wanavyokua wanaweza kuhamia kwako taratibu bila maugomvi.
Oa kizazii tuache kwanza plsLicha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu
Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.
Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
Kugongwa sindio kunapelekea mimba!Anaweza akagongwa lakini sio kubeba mimba thats too much
Upo sahihi lakini pia umbali unachangia pia. Sasa miaka miwili unataka mtu apate huduma wapi?Wengi wana gongewa na wapo na wenza wao kila
Ni tabia tu ya mtu unaweza kua nae karibu ukampa vyote na waka kugongea tu vile vile.
Hahah kubeba mimba ni sekunde tu. Bora jamaa kaona matokeo ya kazi ya mweza wake sasa maamuzi ni juu yake.Anaweza akagongwa lakini sio kubeba mimba thats too much
Ahsante...Mwanaume akipenda bhana....kama zuzu...
Mh kazi kweli kweli poleLicha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu
Sitaki kuamini nilifanya makosa kwenda kutafuta chetu cha mim, yeye na mwenetu ili tuishi maisha ya ndoto zetu hapo baadae.
Najihisi maumivu makali sana kila nikiliwaza hili zinanijia kumbukumbu ya mipango yetu mingi niliopanga nayeye, naitaji tiba ya kisaikologia nitateseka ndugu yenu.
Ungemwambia yeye not meAhsante...
πππLicha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu