Kisa nilicho kutana nacho huu mwaka katika kutafuta ajira

Huu ni utamaduni wa wanaume wengi wa Tanzania. Kuja kuondoa hii tabia itabidi nguvu za ziada zitumike. BTW ni vizuri muwe mnaweka majina yao hadharani ili kujaribu kupunguza hii tabia. Si ajabu hata ukienda TAKUKURU nako ukakumbana na watu wa aina hii. Siku nyingine fanya hivi: tegesha simu au nunua kitu cha kurekodi. Rekodi mazungumzo na uyaweke hadharani eg hapa. Taja jina lake, ofisi na siku. Hili litasaidia sana kupunguza huu ujinga.
 
Shida ipo kwako dada, kwa Nini kila sehemu ukienda unaombwa ngono?? Unatakiwa ujichunguze, aidha wewe unavaa mavazi ya mitego yanayoamsha hisia za wanaume ndo maana, hayo ni mavazi ya kikahaba unaenda nayo ofsini, jaribu kuvaa mavazi yenye heshima mtu akikuona atajua kuwa wewe ni mtu mwenye heshima zake hawezi kukutamkia maneno hayo, lakini ukienda umevaa mavazi ya kikahaba kila mmoja anakudharau pamoja na kuwa na elimu anaona Kama wewe ni Malaya tu!!! Ukijiheshimu na wewe utaheshimiwa mpendwa! Ila ukijirahisisha na wewe watakurahisisha
 
Ungewapa tu kipochi ili wakusaide,mbona yule unampa Bure na hakusaidii chochote?
 
Mm nadhani tatizo limeanzia hapo chini kwenye huo uzi wako

 
Kama kweli wewe ni ke, unataa kuwa mfano wa kuigwa na Kama Kuna watu humu wanaoweza kumsaidia kulingana na takwa lake ni vyema wakainua mikono yao kumsaidia huyu cleature.
 
Utakuwa ni liji wowowo🤑🤑
 
Utelezi ni kitu ya kunyimana watu kweli? Wape upewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…