Kisa nilicho kutana nacho huu mwaka katika kutafuta ajira

Taasisi nyingi ziache ukiritimba, ifike pahala ofisi ziwe eneo kubwa kwa ndani kila mmoja awe na meza yake pale waachiane tu space ya mita chache chache
 
TANGAZO limekaa utamu[emoji848]
 
Ungeweka na kapicha kako bac
 
Kama walivosema wadau hapo, inawezekana mavazi yako yanashawishi uombwe rushwa ya ngono, jaribu kuvaa mavazi yasiyochora umbo lako (8) hasa unapokwenda kwenye maofisi ya watu.
Pia , unaweza kumchoma mmoja PCCB aipate fresh
 
Tatizo Ni hayo matiti yako yaliyochongoka.. uwe inavaa sidiria hata Kama huipendi
 
Ukute anamkataa bosi halafu analiwa na bodaboda mchafu..wanawake bhana ....ila Kama usemayo Ni kweli na sio Chai ya harua ,,Pongezi
 
Nikweli kabisaa .tena imezidi jaman. Inakera sana
 
Mim napinga. Unakuta mtu kavaa smart kiofis nguo ndefu ya heshima lakin wap labda useme muonekano wake una attract
 
Lol...pole Nyie pisi kali ndio changamoto zenu hizo...Mimi nilivyomaliza chuo nafasi ya kwanza kwenda kuomba niliulizwa tu unaitwa nani,??nikaambiwa haya karibu nenda ofisi ile pale utawakuta na wenzako au unaweza kuanza jumatatu nikaanza kupiga mzigo the rest is history poleni pisi kali sura za mama na shepu za mashangazi zinawaponza.
 
Mim napinga. Unakuta mtu kavaa smart kiofis nguo ndefu ya heshima lakin wap labda useme muonekano wake una attract
Mungu hajakupa mwili wako uwe jaribu lako mpendwa, wanawake hasa waliosoma wengi wanavaa vibaya Sana, mnavaa nusu uchi, kama mwili wako unaattract wanaume basi wewe ni wakala wa shetani, hilo ni tatizo mpendwa, lazima ujiangalie maana Uumbaji wa Mungu umekamilika, Mungu hawezi kukupa mwili ambao utasababisha wengine waende motoni, ni wanadamu tunataka wenyewe, Kama mwili wako unavutia, vaa nguo inayofika miguu isiyoonyesha maungo yako ya ndani, alafu weka kilemba chako au vaa kama waislamu uone kama mtu atakutaka, atakayekutaka maanake yeye ndiyo mwenye matatizo, lakini sio kuvaa sket fupi Tena Ina mipasuo kama yote, au kuvaa kisuruali kimebana utafikiri ni taiti, yaani ukikaa mpaka uweke mkoba mapajani kufunika aibu! Alafu uwalaumu mabosi wako!! Ole wako, wewe mwanamke!

Luka 17:1
Akawaambia wanafunzi wake, Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake!

Luka 17:2
Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa wadogo hawa.
 
Kwani we Ni bikra ,, umeliwa Mara ngap Tena bure sometime chips? Sasa unashindwa nini toa mzigo we ndo unajitakia kuendelea kukaa bila kazi
 
Uzuri unatambua kuwa wanaomba ngono. Uchaguzi ni wako, NDIYO au HAPANA.

Don't be cheap. Know your value na utapata unachostahili
 
Pole Dada, Uzi umejaa wapiga punyeto....
Ndio maana tunafananishwa na minyani ya porini kila kona ya dunia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…