Kinaonekanaa kiongo kiongo hikiMm nadhani tatizo limeanzia hapo chini kwenye huo uzi wako
Nina matiti madogo nisipovaa sidiria yanachongoka, nikivaa inaniumiza nifanyaje?
Nina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu. Nina miaka ishirini na kitu, nina...www.jamiiforums.com
Kabisa kaka, wanatudharaulisha sana wanaume wengine! Hivi watu wa namna hii kuna wanaotoka familia bora pia?Ni ushamba tu, mademu mbona kibao tu?
Ni ushauri mzuri, lakini utamuondoa kwenye uso wa dunia mapema sanaaaaHuu ni utamaduni wa wanaume wengi wa Tanzania. Kuja kuondoa hii tabia itabidi nguvu za ziada zitumike. BTW ni vizuri muwe mnaweka majina yao hadharani ili kujaribu kupunguza hii tabia. Si ajabu hata ukienda TAKUKURU nako ukakumbana na watu wa aina hii. Siku nyingine fanya hivi: tegesha simu au nunua kitu cha kurekodi. Rekodi mazungumzo na uyaweke hadharani eg hapa. Taja jina lake, ofisi na siku. Hili litasaidia sana kupunguza huu ujinga.
Shukrani sana mkuu. Iwe kwetu sote.Umenena! Ni ushamba kabisa. Naotea, una moyo wa kitajiri, na una hela, kama huna utakuja kuzishika kichafu sana.
Ujengewe sanamu!. Nafurahi kusikia wanawake mnaotambua thamani ya utu wenu bado mpo!Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie nikakataa pia,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! Nikaipotezea tena iyo sehemu hadi Leo sijafatilia,nikaenda tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
Hata sikumbuki ni lini nimemsaidia demu in anticipation or in exchange of sexual pleasure. Kwangu huu nao ni ukatili wa kimtindo. Kwanza ukimsaidia vizuri yeye mwenyewe anaweza aka appreciate and that's enough.Huu ni utamaduni wa wanaume wengi wa Tanzania. Kuja kuondoa hii tabia itabidi nguvu za ziada zitumike. BTW ni vizuri muwe mnaweka majina yao hadharani ili kujaribu kupunguza hii tabia. Si ajabu hata ukienda TAKUKURU nako ukakumbana na watu wa aina hii. Siku nyingine fanya hivi: tegesha simu au nunua kitu cha kurekodi. Rekodi mazungumzo na uyaweke hadharani eg hapa. Taja jina lake, ofisi na siku. Hili litasaidia sana kupunguza huu ujinga.
Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie nikakataa pia,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! Nikaipotezea tena iyo sehemu hadi Leo sijafatilia,nikaenda tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
Hata sikumbuki ni lini nimemsaidia demu in anticipation or in exchange of sexual pleasure. Kwangu huu nao ni ukatili wa kimtindo. Kwanza ukimsaidia vizuri yeye mwenyewe anaweza aka appreciate and that's enough.
ALLAAH AKUBAARIK...Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie nikakataa pia,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! Nikaipotezea tena iyo sehemu hadi Leo sijafatilia,nikaenda tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
Kazi ipo.. pole sanaJamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie nikakataa pia,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! Nikaipotezea tena iyo sehemu hadi Leo sijafatilia,nikaenda tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....