Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasoma ili uajiriwe?Ukwel kutoka moyoni,,,, kwa bongo hii,,,, na soko la ajira lilivyo, mwanangu akifika form 4, hatoenda advance wala chuo kikuu,,,instead ninaweza kumpeleka kwenye hivi vi-collegge akasome course flan flan ambazo ni applicable kwenye maisha yetu ya kila siku, na sio kumuandaa aje kutegemea huruma za ajira za serikali. ,,,, !
Hakiikaa mkuuElimu ina maana kubwa sio kwa sababu umeenda shule hapana. Ila kwa sababu inakukomboa
Leo hii kuna jamaa kaniambia K haina makombo. Huyu jamaa huwa anaenda uwanja wa fisi kuchukua mademu. Yani ile toka nitoke
Unakuta mshikaji kapiga bao, halafu yeye jamaa anaenda kuteleza na bao la jamaa.
Na elimu hana. Kama angekuwa kasoma na elimu ipo kichwani angejali afya yake, pili angejitambua
Kwenda shule sio kuwa na elimu, wengi wanaenda shule kusindikiza siku.
Nipo na Dotto Magari hapa amemaindi kweli!!!Hii yote ni kujitafutia acceptance katika dunia inayoongozwa na literates.
Kuna wajinga maarufu bongo hii wakisha shiba vihela vya kupaisha majina ya wanaume wenzao wengine baada ya kusambaza yas zao huwa wanatukana watu waliosoma eti wanapoteza muda.
Utafikiri kila mtu ambaye hakusoma sasa ameshakuwa tajiri kwa muda wote ambao haukuhutumua kwenda shule.
Wanasahau kuwa kinachowaweka mjini ni kipaji cha kuropoka ropoka na kugawa makalio, sasa kila mtu akiwa chawa na mtoa yas patachimbika kweli Tanzania hii?
Kaa chini, enjoy bahati yako, acha utoto wa mbwa, upo katika level nyingine ya maisha.
Ni kweli. Na most of them wana hali ya inferiority complex inawatesa sana.kazi ipo ,,,! Wenye Unafuu wa maisha na hawajasoma , wakiwaona wasomi wanahangaika na mishahara mbuzi(walimu police n.k) plus wasomi walioko mtaani wanaunga unga hawana kazi wanafurahi sana,,,all in all maisha hayana formula
Kabisa mkuu. Nimekuelewa sana. Ukijaribu kufuatilia kwa hapa tz, baadhi ya wanasiasa,wafanyabiashara na so called wasanii maarufu wanaibagaza elimu sana ya bongo kwa kauli zao za hovyo. Hii inafanya watu kukosa imani na mfumo wetu wa elimu. Na mbaya zaidi ni kwamba walioko madarakani na wenye dhamana hawataki kufanya reform au total overhaul ya mfumo mzima wa elimu ya tz ili ku catch up na mahitaji ya dunia ya sasa. Poor tzHaijalishi kuna wimbi kubwa kiasi gani la majobless mtaani siwezi ikatia tamaa Elimu hata kidogo,bora awe nayo huku akijua hali halisi mtaani ikoje kuliko kumkosesha atakulaumu badae tena kama itokea fursa ila akakosa kigezo cha elimu. . mengine kumuachia Mungu atafanya yake hakuna aijuaye kesho..hizo short course atasoma tu kama mbadala
Kama hawasomeshi watt wao hapo sawa Ila Kama wanawasomesha ni wajinga broWajinga sana dizain wana bifu na waliosoma.
Wanadharau wasomi hawajui wakiumwa nani anawatibu.
Villa vyeyewe vya madafu
Usenge sana huu yaan hapa ni kupambana kivingine tu hakuna namnakutegemea huruma za ajira za serikali. ,,,, !
Kwa huu mfumo mpya wa Elimu kama utatendewa kazi kama ulivyo pangwa ni imani yaku kutakuwa na mabadiliko makubwa sana naimani tutakuwa na Tz ya tofautiKabisa mkuu. Nimekuelewa sana. Ukijaribu kufuatilia kwa hapa tz, baadhi ya wanasiasa,wafanyabiashara na so called wasanii maarufu wanaibagaza elimu sana ya bongo kwa kauli zao za hovyo. Hii inafanya watu kukosa imani na mfumo wetu wa elimu. Na mbaya zaidi ni kwamba walioko madarakani na wenye dhamana hawataki kufanya reform au total overhaul ya mfumo mzima wa elimu ya tz ili ku catch up na mahitaji ya dunia ya sasa. Poor tz