Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!
Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa.
Soma pia: Kuelekea 2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake
Kwa mtu ambaye ana miaka 40 plus kugalagala kwenye matope kisa serikali inajenga madarasa inaonekana kama taifa bado tuna safari ndefu sana