Pre GE2025 Kisa ujenzi wa madarasa, Mwijaku agalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia

Pre GE2025 Kisa ujenzi wa madarasa, Mwijaku agalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kalipwa milioni 5 hapo kwenda kufanya hivyo. Plus ticket ya ndege na gharama za hotel. Na hapo ni kazi ya siku mbili tu.

Mwijaku sio mjinga. Kabla hujamcheka jiulize wewe unalipwa shilingi ngapi ?

Hata wala rushwa na watekaji pia hulipwa vizuri.

Kwa hiyo tujustify ujinga kwa sababu wnalipwa vizuri?

CHEAP ARGUMENT
 
Hata wala rushwa na watekaji pia hulipwa vizuri.

Kwa hiyo tujustify ujinga kwa sababu wnalipwa vizuri?

CHEAP ARGUMENT

Kufanya taaluma yako , ama ulichosomea chuo kikuu ni ujinga?

Mwijaku ana degree ya sanaa ya maigizo kutoka chuo kikuu cha dar es salaam

Hiyo anayofanya ni kazi ya sanaa

Mwijaku kitaaluma ni msanii, hivyo hapo yupo kazini.
 
Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!

Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa.

Kwa mtu ambaye ana miaka 40 plus kugalagala kwenye matope kisa serikali inajenga madarasa inaonekana kama taifa bado tuna safari ndefu sana

Love it, or leave it_ ๐Ÿงก๐Ÿ’›.jpeg
 
Hii nchi tuna wajinga wengi...karne ya 21 una garagara kwa sababu ya madarasa, wakati kuna nchi jirani tu hapa wanarusha satelite kwenda anga za mbali.
Yamekuwa mashindano ya kugalagala. Next one atagalagala kwenye majitaka ๐Ÿ˜†
 
Lilifaulu darasani na lina degree mbili kutoka vyuo bora nchini
Tanzania kuna chuo bora?

Sasa kama Mwijaku kasoma vyuo bora nchini na anafanya upuuzi kama huo hao ambao wamesoma vyuo vya kawaida watakuaje?
 
Kwakua hafanyi bure basi siyo ujinga
 
"Wasomi bado ni watumwa kwa wanasiasa" Aliimba Joh Makini
Hao ndio wasomi tulionao. Kwani mama anatoa pesa zake mfukoni au ni pesa za serikali?!
Bora ujinga waliofunya mababu zetu haukuwa na kumbukumbu za video kama leo. Baadae wajukuu zako wanaweza kulichapa viboko kaburi lako.
 
Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!

Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa.

Kwa mtu ambaye ana miaka 40 plus kugalagala kwenye matope kisa serikali inajenga madarasa inaonekana kama taifa bado tuna safari ndefu sana

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nimechoka saaanaa

Huyu Mwijaku ana matatizo ya akili kweli, sio kawaida hii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom