Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Wazi....kukosa aibu ni dalili ya kukatwa Linda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazi....kukosa aibu ni dalili ya kukatwa Linda.
Mwajuma, anautafuta ubunge Kwa Hali na Mali!Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!
Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa.
Soma pia: Kuelekea 2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake
Kwa mtu ambaye ana miaka 40 plus kugalagala kwenye matope kisa serikali inajenga madarasa inaonekana kama taifa bado tuna safari ndefu sana

Watoto wa 2000 wanatushangaa sana!Tutafika tu
Tutaitengeneza Tanzania mpya siku moja.......
Huyo jamaa tunamuona kama kichaa kajitoa ufahamu kumbe yupo kikazi zaidi ,ukimsikiliza kwenye exclusive interview yake na Zamaradi Mketema "mamaa wa ulisi" utajua kwamba hapo yupo kazini ,si umeona mbele kuna STL inamsubiri hapo impeleke hotelini akaoge na kubadilisha nguo na hizo kuingizwa Dry Cleaner ,kwenye mitandao kuna mambo mengi ,jamaa anaingiza maokoto marefu sana ,usikute hapo kakunja hata 20m....Hivi wewe ukipewa 15m ujiangushe namna hiyo utashindwa?Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!
Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa.
Soma pia: Kuelekea 2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake
Kwa mtu ambaye ana miaka 40 plus kugalagala kwenye matope kisa serikali inajenga madarasa inaonekana kama taifa bado tuna safari ndefu sana
Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!
Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa.
Soma pia: Kuelekea 2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake
Kwa mtu ambaye ana miaka 40 plus kugalagala kwenye matope kisa serikali inajenga madarasa inaonekana kama taifa bado tuna safari ndefu sana
Kwa nchi hii ilipofika, we sema upo tayari hata kuwa mbwa wa, Abdul(mtoto wa, samia), ili mradi upate ujira wako,Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!
Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa.
Soma pia: Kuelekea 2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake
Kwa mtu ambaye ana miaka 40 plus kugalagala kwenye matope kisa serikali inajenga madarasa inaonekana kama taifa bado tuna safari ndefu sana
Ujinga anaofanya ndio unampa endorsement za mamilioni ,kiufupi ni ujinga unaolipaTanzania kuna chuo bora?
Sasa kama Mwijaku kasoma vyuo bora nchini na anafanya upuuzi kama huo hao ambao wamesoma vyuo vya kawaida watakuaje?
Ccm wenzako hao.Tumeadvance kutoka kububujikwa na machozi sasa tupo kwenye kugalagala.