Ni miaka sita nyuma, huyu bwana alikuwa na umapenzi na mdogo wangu Fulani ,penzi lilienda Sana mpaka huyu bwana akawa anakuja nyumbani.
Kabla nikimuona mtu anayejielewa kabla ya kugeukia kwenye utahira huu basi baadye mdogo wangu akaenda kusoma na penzi likafa na hili jamaa likampata mjinga mwenzie mwingine .
Ni hapo uwa nikimpigia simu dogo nampongeza kwa kuachana na huyu mjinga maana tulikuwa tunakaribisha matahira kwnye Ukoo wetu .
Embu imagine nisimame sehemu niseme eti mwijaku ni ndugu yangu kwa maana ni shemeji yangu 🤔 hakika ningekuwa hata sijitambulishi Wala kuwa karibu naye hata kidogo