Kalipwa milioni 5 hapo kwenda kufanya hivyo. Plus ticket ya ndege na gharama za hotel. Na hapo ni kazi ya siku mbili tu.
Mwijaku sio mjinga. Kabla hujamcheka jiulize wewe unalipwa shilingi ngapi ?
Si ccm wanapenda mambo hayaTumeadvance kutoka kububujikwa na machozi sasa tupo kwenye kugalagala.
Hata wala rushwa na watekaji pia hulipwa vizuri.
Kwa hiyo tujustify ujinga kwa sababu wnalipwa vizuri?
CHEAP ARGUMENT
Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!
Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa.
Kwa mtu ambaye ana miaka 40 plus kugalagala kwenye matope kisa serikali inajenga madarasa inaonekana kama taifa bado tuna safari ndefu sana
Yamekuwa mashindano ya kugalagala. Next one atagalagala kwenye majitaka πHii nchi tuna wajinga wengi...karne ya 21 una garagara kwa sababu ya madarasa, wakati kuna nchi jirani tu hapa wanarusha satelite kwenda anga za mbali.
Lilifaulu darasani na lina degree mbili kutoka vyuo bora nchiniMkewe sijui anajiskiaje kuolewa na hili zwazwa!
Tanzania kuna chuo bora?Lilifaulu darasani na lina degree mbili kutoka vyuo bora nchini
Kabisa ana gorofaKwakua hafanyi bure basi siyo ujinga
πππππππππππππ Nimechoka saaanaaInaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!
Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa.
Kwa mtu ambaye ana miaka 40 plus kugalagala kwenye matope kisa serikali inajenga madarasa inaonekana kama taifa bado tuna safari ndefu sana