Kisaikolojia Magufuli hakuwa sawa.

Baraka21

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
1,262
Reaction score
3,184
Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995.
Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye aliuza nyumba zaidi ya 8000 kwa mkono wake.
Tabia ya vitisho na kutaka aabudiwe kama Mungu.
Ufisadi wa kupeleka miradi Chato na kuajiri watu wa kabila lake.
Kumuita Manji fisadi hukua akimkumbatia Rostam, kumuita Lowasa fisadi ila aliporudi CCM akamuita shujaa na mtoto wake akampa ubunge.
Kubaka Demokrasia ndani ya chama chake na nje ya chama chake.
Kukimbatia wahuni kama Sabaya na Makonda.
Risasi, utekaji, machozi jasho na damu.
 
Ulikuwa wapi

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Nikisomaga uzi wa ROBERT HERIEL ambao aliuita Silaha ya maskini ni Unafiki.

The first picture ambayo inakuja kichwani ni ya Mwendazake....,
 

Huyu alikuwa janga kuliko hata Corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…