Kisaikolojia Magufuli hakuwa sawa.

Kisaikolojia Magufuli hakuwa sawa.

Magu alikuchalaza akiwa hai na bado anakuchalaza akiwa mfu.

Hadi miezi tisa ipite utoe hicho kinachokukereketa ambacho ndio alikuachia ndipo utakaa sawa
 
Magufuli alipokua waziri wa Uchukuzi aliiba pesa mabioni za Kivuko Dar - Bagamoyo - Dar,
akaleta meli mbovu ikapotea kusikojulikana.
Kikwete alimsamehee na maisha ya kaendelea akawa Rais.
Alipokua tu Rais akamtuma Bashite aseme familia ya Kikwete wanauza unga.
Na vile alikua anajua kuwa yeye ni mwizi na muongo, akaanza kutuua tusiseme. Ben Saanane alisema na kutoa ushaidi kuwa Magufuli aliiba PhD ya mtu. Akamua na ile bunduki yake alioturingishia.

Moto anaounguzwa nao huko KUZIMU uchome mpaka kizazi chake cha sita.

Tunawaomba sana MaCCM tuonesheni mlipo mfukia mpendwa wetu Ben Saanane tukamfukue tumfanyie ibada.
 
3C6D59C8-F692-463E-9163-45BD6ADDAAEA.jpeg
 
Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995.
Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye aliuza nyumba zaidi ya 8000 kwa mkono wake.
Tabia ya vitisho na kutaka aabudiwe kama Mungu.
Ufisadi wa kupeleka miradi Chato na kuajiri watu wa kabila lake.
Kumuita Manji fisadi hukua akimkumbatia Rostam, kumuita Lowasa fisadi ila aliporudi CCM akamuita shujaa na mtoto wake akampa ubunge.
Kubaka Demokrasia ndani ya chama chake na nje ya chama chake.
Kukimbatia wahuni kama Sabaya na Makonda.
Risasi, utekaji, machozi jasho na damu.View attachment 1975197
Alikuwa kichaa kama vichaa wengine. Nashangaa nchi haina system ya kuweza kuwabaini watu kama hawa kabla ya kuwakabidhi madaraka makubwa na kuleta madhara kwa nchi na wananchi wake
 
Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995.
Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye aliuza nyumba zaidi ya 8000 kwa mkono wake.
Tabia ya vitisho na kutaka aabudiwe kama Mungu.
Ufisadi wa kupeleka miradi Chato na kuajiri watu wa kabila lake.
Kumuita Manji fisadi hukua akimkumbatia Rostam, kumuita Lowasa fisadi ila aliporudi CCM akamuita shujaa na mtoto wake akampa ubunge.
Kubaka Demokrasia ndani ya chama chake na nje ya chama chake.
Kukimbatia wahuni kama Sabaya na Makonda.
Risasi, utekaji, machozi jasho na damu.View attachment 1975197
Rubbish
 
Get over it mkuu

You can’t sulk for the rest of your life
 
Mimi kinachoniuma hadi leo ni namna alivyomiminiwa marisasi Lissu, kwa hili najaribu kumwomba Mungu linitoke ila inashindikana, yaani utaamuaje kumuua binadamu mwenzako kama mnyama?
Unapatikana wapi na unataka tukushuti kwa risasi ngapi!? Njoo inbox kazi hii tutaifanya bure kabisa na noa yetu nyeusi
 
Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995.
Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye aliuza nyumba zaidi ya 8000 kwa mkono wake.
Tabia ya vitisho na kutaka aabudiwe kama Mungu.
Ufisadi wa kupeleka miradi Chato na kuajiri watu wa kabila lake.
Kumuita Manji fisadi hukua akimkumbatia Rostam, kumuita Lowasa fisadi ila aliporudi CCM akamuita shujaa na mtoto wake akampa ubunge.
Kubaka Demokrasia ndani ya chama chake na nje ya chama chake.
Kukimbatia wahuni kama Sabaya na Makonda.
Risasi, utekaji, machozi jasho na damu.View attachment 1975197
Ndio unamjua leo? Kutukana hovyo,kudhalilisha,kujifanya Mungu mtu,kupaparikia vitu vidogo na kufanya sherehe kubwa.utafikiri ndio cha kwanza Duniani,kujifanya ndio mtu mwenye akili kuliko wote yaani kiufupi huyu jamaa alikuwa na matatizo mengi Sana.

Ukianza.kuorodhesha matatizo ya Magu hapa utajaza kitabu,imagine unaishi kwenye jamii harafu una tabia kama za yule mtu ,utachukiwa na kusutwa mtaa mzima.
 
Back
Top Bottom