Kisarawe: DC Magoti apiga marufuku shughuli za ngoma kuhusisha wanafunzi

Shida ni huko serikali kuu sio mkuu wilaya, utamaduni wa hovyo kufundisha watoto mambo ya kikubwa umepitwa na wakati.

Hizo ngoma zao za unyago wasubiri mabinti wakifika miaka 18 ndio wafanye hayo mambo, sio kwa watoto wadogo.

Badala ya kumpongeza mtu anaetetea haki za watoto ndio tunataka kuona kakosea.
 
Kuna mikoa inaongoza kwa mimba za utotoni, watoto wa kike kuacha shule na nk....fanya utafiti.
 
Pwani na ngoma ni kichwa na macho, sasa awachokonoe ndio atajua.

KIla sehemu ambayo haiko sawa katika mwili huwa na athari ya moja kwa moja kwenye ubongo na akili
 
Wanasemaga hata mpumbavu akikaa kimya huonekana na hekima. Watu wengi tuliwaheshimu sana wakati wapo kimya. Muhongo, Kabudi, Chalamila et al
 
Anakataza wanafunzi kuchezewa hizo ngoma
 
Ila nao wamezidi, watoto wanafyatuka na mingoma isiyo na maadili.!! Halafu mnaombeza muwe waelewa, yeye kakataza kwa wanafunzi.!!

Hizo ngoma asilimia kubwa zinahamasisha ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…