Kisarawe: DC Magoti apiga marufuku shughuli za ngoma kuhusisha wanafunzi

Ila nao wamezidi, watoto wanafyatuka na mingoma isiyo na maadili.!! Halafu mnaombeza muwe waelewa, yeye kakataza kwa wanafunzi.!!

Hizo ngoma asilimia kubwa zinahamasisha ngono
Kwani ngono wakifanya wao wewe unateseka vipi?

Mbona nyinyi hamuingiliwi na mila zenu za chagulaga?
 
Bibi zao wamepita huko na wazazi wakabariki yaendelee, nilipita twice ila kwa busara zangu nikaacha tu yanipite
Ni ujinga na muda wao wa kukomeshwa mila za hovyo bado haukufika, sasa umefika na DC kazuia.

Zile ngoma ni za hovyo sana, mpiga ngoma akizima anachagua mwanamke yeyote yule anayemtaka hata km mke wa mtu akamle kichakani, akimaliza ndio ngoma inaendelea na hapo ni kundi zima linaingia vichakani kila mtu na wake.!! Hakuna kinga hapo ni kujibebea magonjwa.

Ndiomana wanaimba “Chakala chakala mikoroshini mamaa!! Waambulia gono la Mia mbili mamaa!!”
 
Ni wa kanda hiyo nini Lamomy toto la Mbaga Jr
 
Sijasoma ulichoandika ila nakuunga mkono love
 
Watu wa kuja wageni kama maDC wanatakiwa kuzingatia mila za wenyeji wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…