Kisha Kuhani Mkuu akamtetea Bashite akisema...

mzee wa nje ya box
 
Basi bwana akaenda madhabahuni,wanafunzi wake wakimwambia,bwana tunanjaa,bwana akatabasamu kisha akawaambia "kila mtu apambane na hali yake"wanafunzi wakamuuliza.bwana!unamaana gani?bwana akajibu.........
.
Bwana yule akajibu na kusema, mimi sintaongeza dinari yoyote, enendeni katika masinagogi yenu mkatafute dinari. Maana nyie ni wanafunzi wavivu mwataka kuvuna msichopanda.
 
MAKUHANI NA WAZEE WA SIKU HIZI BWANA!! HII NJAA MBAYA! TUTAONA MENGI!!
 
Huyu ni mwanangu mpendwa msikilizeniiiii atakayo wafundisha na yashikeni,sauti hii sauti ikatoka...... huu ni wimbo wa kwaya 1 hivi ya zamaniiiii
 
Hivi ule uzi mwingine kama huu ulifutwaga au??
 
Baas wanafunzi wake wakamfuata na kumuuliza: ee baba, mbona hatukuwaacha waliotukuka kama huyu mwanao wakati wa uhakiki? Naye akajibu, amin nawaambia, sijaja kutafuta mchumba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu inatoka katika kitabu gani?
 
Ninaona maandiko yakitimia................
 
Ile kauli ya eti dunia siyo ya Mungu imeniacha hoi,
Nimejiuliza mengi sana
Subiri bado kwani umeona nini? tuombe aendelee kutumia akili ya nyumbani na siyo ya majukwaani; tutaona mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…