Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]Baas wanafunzi wake wakamfuata na kumuuliza: ee baba, mbona hatukuwaacha waliotukuka kama huyu mwanao wakati wa uhakiki? Naye akajibu, amin nawaambia, sijaja kutafuta mchumba.
Hizi id nyingine sio[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]Baas wanafunzi wake wakamfuata na kumuuliza: ee baba, mbona hatukuwaacha waliotukuka kama huyu mwanao wakati wa uhakiki? Naye akajibu, amin nawaambia, sijaja kutafuta mchumba.
HahaaaaaUu huzi unaenda page ya 3 hila mrs makonda cocochanel ajaonekana mkulu kayamwaga maji [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndipo kuhani mkuu akapaza sauti yake na kusema huyu ndiye mwanangu mpendwa nipendezwaye naye, basi msikilizeni yeye! Alat 3: 10-12
hahhahahahahahahahhhahah"Enyi wana wa nchi ya makinikia,sitamuondoa mkuu wa mji wa bandari salama hata kama haijui 'a',yeye ni mmoja wao wachapakazi na wengine waige mfano wake.Baada ya kusema hayo Bashite akatabasamu na kujipiga piga kifuani akisema;na uhimidiwe kuhani mkuu,kwa maana itaandikwa ukae miaka 7 au zaidi ikikupendeza."
[waraka wa Polepole kwa wanalumumba 2:2-9]