Kishalipia mahari wachumba watano lakini hakuna aliemuoa.

Kishalipia mahari wachumba watano lakini hakuna aliemuoa.

Huyo jamaa yako niwakununuliwa busha ili apate darasa kidogo maana anaharibu hisia za mabinti wawatu...

Mfyuuuuuuuuu kiboro dinda huyoo
Hili lijamaa kwao kuna uganga limeshapigwa sana na mambo hayo lakini linapona sijui lina ufreemason
 
Mwambie ukweli, au Mwambie asimwamini Huyo firauni mwenzio asubiri ndoa kabisa ili Jamaa achoke kusubiri
Alipo nionesha picha na mimi kushtuka alitaka kujua kwanini nimeshtuka?? Halafu hajui kama mimi na jamaa kuwa washkaji mbaya zaidi leo kaweka picha ya jamaa kwenye whatsapp yake.
 
Au km vip acha bwai iwe bwai haribu, kamata mama piga na isirudi chenji af tambaa na gap.
Bwai haiwezi kuwa mbwai manake na mimi kuna mitego yangu huyu firauni akijua mimi ndie niliemwaga ugali na yeye si atamwaga mboga😕🙁
 
Wote acheni kumfanyia dada wawatu mchezo huo...

Kucheza na hisia za mtu si vizuri na ndio nyie mnasababisha wengine wakate tamaa kupenda...

Usilopenda kutendewa usimtendee mwingine
Maneno mazima haya. sasa nifanye nini?? niokowe jahazi
 
Bwai haiwezi kuwa mbwai manake na mimi kuna mitego yangu huyu firauni akijua mimi ndie niliemwaga ugali na yeye si atamwaga mboga😕🙁
Siku wewe na huyo jamaa yako mtakapokuwa mmpenda kweli na mnahitaji kuoa ndipo mtakapoanza kupokea malipo ya kazi yenu. Mtaumizwa na wanawake kama nyie mnavyowaumiza saa hizi. Na atakayejitolea umuoe ujue lazima akuumize ndani ya ndoa. Kama mna dada zenu nao wataumizwa vile vile.
Jifanyeni wajanja saa hizi!!
 
Malipo n hapa hapa dunian jinsi unavyofedhesha moyo na familia ya m2 vivyo hvyo utalipwa tena Mungu analipaga na nyongeza..
Ukiangalia unavotoa Mali kwa tamaduni za kiafrika wanaitwa wazee wanabariki aisee hiyo laaana haitamuacha abadani kwa maana tayari anawafungia riziki wale wadada hawawezi kutolewa Mali tena familia zinaimani muoaji atakuja tena kumchukua binti yako.

Hakika shetani anatutumikisha sana kweli mshahara wa dhambi ni mahuti.

USHAURI

Mshitue uyo Dada utapata thawabu kama alizopata RAHABU yule Dada kahaba aliyehesabiwa haki kwa kuwaficha watumishi Wa BWANA.
 
Wanawake bila longolongo huwapati .. Ukiwa loyalist utaishia kuumizwa moyo... Piga Mambo sepa
 
Mwache tuu akachezee rungu maana ukimwambia tuu atamwambia mchumba wake wewe utaonekana muongo
 
Siku wewe na huyo jamaa yako mtakapokuwa mmpenda kweli na mnahitaji kuoa ndipo mtakapoanza kupokea malipo ya kazi yenu. Mtaumizwa na wanawake kama nyie mnavyowaumiza saa hizi. Na atakayejitolea umuoe ujue lazima akuumize ndani ya ndoa. Kama mna dada zenu nao wataumizwa vile vile.
Jifanyeni wajanja saa hizi!!
Mkuu sio itakuja kutokezea kwakweli ishanitokezea kwa wadada 3 halafu hawa wawili wao inaniuma mpaka leo. Yaani nishawalamba mpaka miguu niwaowe basi huyayuka dakika za mwisho sijui kwanini. Huyu mmoja mwaka jana nilitaka kumpelekea posa usiku kama leo tunaongea poa asubuhi yake tumegombana mpaka leo tupotupo tu aahh inauma kwakweli🙁
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] dah hii dunia haiishi vituko aisee.
 
Back
Top Bottom