PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,994
- 1,291
Mwambie ukweli, Kama Jamaa yako ana maradhi atamuua dada wa watu aliyejitunza na adhabu ya jamaa utashea maana ulikuwa na nafasi ya kumuokoa Huyo mdada Lkn Unataka kuonekana mwema Kwa Huyo firauni ambaye hakupeleki popote na anaweza kuja kukugongea watu wako wa karibu.Alipo nionesha picha na mimi kushtuka alitaka kujua kwanini nimeshtuka?? Halafu hajui kama mimi na jamaa kuwa washkaji mbaya zaidi leo kaweka picha ya jamaa kwenye whatsapp yake.