Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
we jamaa si ukaushee acha msela ale nyie ndo mnaoharibia watu target zao ukimwambia we utakuwa sio rafiki ni adui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna namna mwache mchiz ajilie..fanya yako mkuu, acha mchiz awagegede maana hawa viumbe bila kuwadanganya huoni ndani
Hahahahahahaaa eti KUONA NDANI dah umenikumbusha mbal sana jamaa angu flan wa Pande za mbeya alikua anapenda sana kulitumia hilo neno.fanya yako mkuu, acha mchiz awagegede maana hawa viumbe bila kuwadanganya huoni ndani
Kumbuka kila ufanyalo lina implications zake, mwambie na mwenzio atajajutia tabia zakeSalamu wana jf.
Kwakweli hii tabia ya rafiki yangu imekuwa sasa kama maradhi kwake, huyu rafiki yangu ana mke tatizo lake kubwa hutongoza wanawake na kutangaza ndoa. Sasa kuna wanawake kama watano hawa hawajataka kutoa papuchi mpaka wafunge ndoa. Huyu rafiki yangu hutangaza ndoa na kulipia mpaka mahari, hapo ndipo anapo wapata hawa wanawake kuona ndio mume mtarajiwa. Nao ndio humwachia kucheza mechi kwenye uwanja wao wa taifa, tatizo akisha wavua pichu jamaa uchumba ndio umekwisha na hela ya uchumba huisamehe pia. Sababu ya kuleta hii stori hii tabia ya rafiki yangu na mimi sasa naona naanza kuifata, na kwakweli naona sio tabia nzuri. Isipokuwa mimi sitoi mahari hujitambulisha kwa wazee wa mwanamke nikishapewa tunda nasepa. Sasa wiki iliopita kuna ex-wangu mmoja shuleni tulisoma pamoja niliachana nae kutokana huyu mdada yupo bikra bado, na alikataa katakata kutoa tunda mpaka mume atakae muowa ndio anamuachia hilo tunda. katika maongezi yetu nikamuuliza kama kishaolewa ndipo akasema kapata mchumba na kishatowa mahari na harusi kupangwa mwezi wa tatu mwakani 2017. Huyu ex-wangu akatoa cellphone yake na kunionesha mchumba wake, nikiwa naiangalia picha ya huyo mchumba nilipigwa na butwaa na ilinitoka heee😱. Ilikuwa picha ya yule Firauni rafiki yangu mtoa posa na husepa, sasa wakuu nashindwa nianzaje kumueleza huyu ex-wangu kuwa jamaa mgegedaji tu na sio muoaji. Lakini nimemuuliza huyu msela wangu anasema kwenye wiki mbili hizi ana suka mipango ya kumgegeda na ikifika February anasepa. Nifanye nini kumuokoa huyu mdada kutoka kwa hili lishetani😡
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inaweza kuwaHutu alimtenda Miss Natafuta wetu nini hadi sasa hivi hana hamu na wanaume
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mkuu hii kitu kweli sio kiki kabisa
Kuna baadhi ya mashetani wagumu kuwashindaMpaka kufikia hapo huyo Dada anamsimamo na atamshinda tuu huyo shetani