Kishalipia mahari wachumba watano lakini hakuna aliemuoa.

Kishalipia mahari wachumba watano lakini hakuna aliemuoa.

Naanza kuuona mwisho wake huyo rafik yako. Wanawake wa siku hizi acha tu ipo siku Watamgegeda yeye. Atapelekwa kwa wazazi wa uongo huko ataliwa kiboga
 
muweke na akiba ,maana ubaya mnaoufanya leo ni deni mnalojikuopesha wenyewe ,na mtaja kulipwa ,
na watakao lipa ni vizazi vyenu maana watafanyiwa kama nyinyi mnavyowafanyia vizazi vya wenzenu
 
Salamu wana jf.
Kwakweli hii tabia ya rafiki yangu imekuwa sasa kama maradhi kwake, huyu rafiki yangu ana mke tatizo lake kubwa hutongoza wanawake na kutangaza ndoa. Sasa kuna wanawake kama watano hawa hawajataka kutoa papuchi mpaka wafunge ndoa. Huyu rafiki yangu hutangaza ndoa na kulipia mpaka mahari, hapo ndipo anapo wapata hawa wanawake kuona ndio mume mtarajiwa. Nao ndio humwachia kucheza mechi kwenye uwanja wao wa taifa, tatizo akisha wavua pichu jamaa uchumba ndio umekwisha na hela ya uchumba huisamehe pia. Sababu ya kuleta hii stori hii tabia ya rafiki yangu na mimi sasa naona naanza kuifata, na kwakweli naona sio tabia nzuri. Isipokuwa mimi sitoi mahari hujitambulisha kwa wazee wa mwanamke nikishapewa tunda nasepa. Sasa wiki iliopita kuna ex-wangu mmoja shuleni tulisoma pamoja niliachana nae kutokana huyu mdada yupo bikra bado, na alikataa katakata kutoa tunda mpaka mume atakae muowa ndio anamuachia hilo tunda. katika maongezi yetu nikamuuliza kama kishaolewa ndipo akasema kapata mchumba na kishatowa mahari na harusi kupangwa mwezi wa tatu mwakani 2017. Huyu ex-wangu akatoa cellphone yake na kunionesha mchumba wake, nikiwa naiangalia picha ya huyo mchumba nilipigwa na butwaa na ilinitoka heee😱. Ilikuwa picha ya yule Firauni rafiki yangu mtoa posa na husepa, sasa wakuu nashindwa nianzaje kumueleza huyu ex-wangu kuwa jamaa mgegedaji tu na sio muoaji. Lakini nimemuuliza huyu msela wangu anasema kwenye wiki mbili hizi ana suka mipango ya kumgegeda na ikifika February anasepa. Nifanye nini kumuokoa huyu mdada kutoka kwa hili lishetani😡
Jamaa umeandika kwa hisia sana na pengine umefanya hivyo kwa kuwa unampenda huyo dada na pia kwa kuwa wewe uliambulia patupu. Na mbaya kilichokufanya uandike hapa ni wivu na baada yakuona jamaa anakula kitu kiulaini, sasa ushauri wangu kamwambie huyo jamaa yako tabia yake sio nzuri na baadae umwambie kuhusu huyo binti ulitaka kumla na sasa bora mkose wote maana utamwaga mboga, baadae ndiyo ukamweleze huyo bi dada na ushauri mwinigine wakati unamweleza bi dada uwe na ushahidi wa mambo ya jamaa vingine hautaeleweka kabisa kwake. Kumbuka mahari imeishatolewa. ILA SHETANI JAMANI ANA MAGENT WENGI HAPA DUNIANI. Huyo jamaa hizo pesa si afanye maendeleo ya familia yake lakini
 
Dah watu mnambinu kuipigania zinaaa....nyie ndio mnatuharibia wenye nia njema....tizama hadi mm naonekana kama ninyi
 
Back
Top Bottom