Kisheria, serikali ya kijiji inaweza kugawa chini ya ekari 50, Mpina alitoa rushwa akagawiwa ekari 1000?

Kisheria, serikali ya kijiji inaweza kugawa chini ya ekari 50, Mpina alitoa rushwa akagawiwa ekari 1000?

Kila kitabu na wa somaji wake. Zama zake zimekwisha
 
Mbona mtoto mmoja wa kiongozi wa aliyekuwa mkuu wa nchi ana ardhi sawa na wilaya nzima hasemwi wakati anaiuzia mpaka serikali kila inapotaka kuanzisha miradi maeneo fulani? Serikali iliuziwa na nani eneo la Kwala ambako bandari ya nchi kavu imeanzishwa? Serikali iliuziwa na nani eneo ilipoweka kituo cha kupotezea umeme kutoka bwawa la Nyerere hapo Chalinze?
serikali iuziwe na nani tena wakati ardhi yote ni mali ya serikali ndugu? Siss ni wapangaji tu tunatofautiana kipindi cha upangaji, wengine miaka 33, 66 au 99. Ardhi ni mali ya serikali.
 
serikali iuziwe na nani tena wakati ardhi yote ni mali ya serikali ndugu? Siss ni wapangaji tu tunatofautiana kipindi cha upangaji, wengine miaka 33, 66 au 99. Ardhi ni mali ya serikali.
Ardhi sio mali ya serikali ni ya umma au wananchi serikali kupitia raisi ndio aliyepewa dhamana mbona mko mazuzu wengi sana?
 
Ardhi sio mali ya serikali ni ya umma au wananchi serikali kupitia raisi ndio aliyepewa dhamana mbona mko mazuzu wengi sana?
we ndio zuzu mbwa we, umma ndio nini? we sijui una udumavu gani kichwani. Kodi ya ardhi unamlipa nani. unajua maana ya lease? Kuliko ukose akili bora ukose mali. Hakuna kitu kinaitwa acha kujidanganya, serikali haiwezi kununua ardhi ila inaweza kuchukua ardhi yako kwa kukupatia kitu kinaitwa fidia.
 
"or by way of a derivative right or consent to the grant of a derivative right which is greater than fifty hectares in extent, the village council shall forward that application to the Commissioner together with its recommendation on that application and shall not grant that application unless and until the Commissioner shall signify in writing to the village council that he consents to that application " Kasome Kanuni ya 76 ya kanuni za ardhi ya vijiji.
 
Kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya Kijiji, (The Village Land Act, Cap 114) na kanuni zake, serikali ya Kijiji hairuhusiwi kugawa ardhi ambayo inazidi ekari 50.

Mpina amegawiwa ekari 1000, kubwa zaidi mara 20 kuliko Ile ambayo Kijiji wanaruhusiwa.
Ni wazi kwamba Mpina alihonga viongozi wa serikali ya Kijiji ili apate ardhi hiyo. Alitoa rushwa.

Wizara ya Ardhi badala ya kuunda taskforce kumfuatilia huyu mtoa rushwa na kufuta umiliki wake, abaki na ekari 49.

Alitetewa na jiwe wakati hii inaibuka, akaizima, akajua imeisha, mali ya umma ukiiba, umma hautakuacha.

Sasa hivi analima mpaka karibu na milango ya nyumba, mpaka watoto hawana sehemu ya kucheza, Kijiji hakina hata eneo la kujenga shule Wala dispensary,lote kachukua Mpina.
Tuko busy na mjadala wa Bashe na mwenzia kuhujumu sukari, hayo mengine tusubiri kwanza. Hata hivyo jimbo la Kisesa halina tatizo la ardhi kama ulivyojaribu kudanganya
 
Tuko busy na mjadala wa Bashe na mwenzia kuhujumu sukari, hayo mengine tusubiri kwanza. Hata hivyo jimbo la Kisesa halina tatizo la ardhi kama ulivyojaribu kudanganya
Hiyo mi Morogoro, kichwa chako ni kama jiko la kuni, linabeba sufuria moja tu, kichwa chako hakiwezi ku-multi-task, sisi wengine hata mada kumi tunazichakata kwa pamoja
 
Back
Top Bottom