Kisheria, Spika wa Bunge anaweza kuondolewa. Je, Job Ndugai aondolewe?

Paskali kimaandishi yawezekana akafutwa kazi LAKINI kiuwalisia kwa Tanzania ya utawala wa CCM haipo labda akwaruzane na serikali yake.
Speaker akijifanya kama Six wanamtafutia sababu ya kistaarabu na kumtapika.
Lakini asipowaunga mkono wazi wazi wanaweza wakamuondoa kwa mgongo wa chama chao.
 
Mayala Bado ana Kovu La Kukimbiwa Na Mwanamke Aliekuwa anampenda Sana Joyce, Na Joyce Kwa Sasa Anaishi Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Tumbo Tumbo, asante kwa kuingia ndani ya moyo wangu hadi kuyaona makovu ya vidonda vyangu vya kukimbiwa na mtu niliyempenda sana, but what has this got to do with this topic?!.
P
 
NDUGAI AONDOKE HAFAI HATA KIDOGO. KWANZA ALIMPIGA MGOMBEA MWENZAKE AKAZIMIA WAKATI ALITAKIWA APELEKWE MAHAKAMANI NA PIA ALITAKIWA AONDOLEWE KUGOMBEA UBUNGE. NDUGAI HAFAI HAFAI.......
 
Mkuu Tumbo Tumbo, asante kwa kuingia ndani ya moyo wangu hadi kuyaona makovu ya vidonda vyangu vya kukimbiwa na mtu niliyempenda sana, but what has this got to do with this topic?!.
P
Duh mzee kumbe na wewe mhanga kama mm
[emoji23] [emoji23] wazee wa kukimbiwa wazee wa kupigwa kibuti Dah

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Hii ya Bunge kutokushitakiwa kumemfanya Mkuu wa Mhimili huu Bunge, kujisahau, kujiiunua na kujiona kama mungu mtu hivyo kutaka kuabudiwa, kuigopwa na kunyenyekewa hadi kujiona anaweza kufanya chochote, kusema chochote na kutoa maamuzi yoyote hata yaliyo kinyume cha sheria, taratibu na kanuni na asiguswe!."

Kwahayo maneno bro Paskali huenda ukarudishwa tena kwa ile kamati maarufu pale bungeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is the separation of power in practice
 
Hili bandiko japo ni la siku nyingi, lakini kwa kinachoendelea sasa kwenye Bunge letu, hili bandiko bado liko valid.
P.
 
Ndugai hatoshi kwenye kiti cha uspika. He has proved it by himself that he is incapable of managing the parliament. Ila kwasababu ni kibaraka wa jiwe na watanzania daima tunaongea nyuma ya keyboards tu bila kupractise yale ambayo katiba imetuwezesha tukiona mambo hayaendi sawa. No matter what this country is ours sio ya jiwe wala spika wala wanaccm. Let's wake up n speak loudly guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…