Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #81
Mkuu Vumilika karibu pande hiziNdugu Mwalla tunashukuru kwa taarifa ya uchambuzi wako wa CAG katika katiba yetu, naomba utasaidie na hii hapa chini.
Nini uwajibikaji na uwajibishwaji wa spika wa bunge na naibu wake?
Mina Cute, sio vizuri kumdhihaki mtu kutokana na ugonjwa wake.kumbe wakihamua wanaweza kumtoa yule mgogo anaesumbuliwa na sonona
Naunga Mkono Hoja...Ktk hali ya kawaida bila kujali sheria au katiba.
Aliyoyafanya spika ndugai mbele ya uma wa watanzania, anastahili kuongoza muhimili huu muhimu kwa nchi yoyote duniani?
Kamati ya mwakwembe haikuona ufisadi wa lowasa kuhusu kashfa ya Richmond.
Lakini kwa kuwa waziri mkuu ni Mtendaji mkuu wa serikali AJITATHIMINI JE ANASTAHILI KUENDELEA NA WADHIFA HUU.
WITO KWA NDUGAI,
AJITATHIMINI, KWA MAZIMIO NA UFAFANUZI,BATIRI NA KUTOKUSIMAMIA KAULI ZAKE JE ANAFAA KUENDELEA KUWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YETU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sakata wakuu wangu wa jf ni kubwa sana kuliko mengine yote.Pascal bwana yaani unaandika kama umetoka Kwimba jana , Spika wa CCM, sasa unataka kutuambia eti CCM ijishugulikie yenyewe?? Anayofanya Spika ni msimamo wa chama na ndiyo maana Katibu Mkuu yupo kimyaaaaa!!
Yaani hii ni zawadi tu kwa watanzania kuwa na CAG mcha Mungu; kwani angeamua kujiunga nao ingewaje?
Mungu ajuoe nguvu zaidi CAG, kazi yamo ni ngumu mno kuliko hata ya Lissu.
Mkuu Joka Kuu, naunga mkono hoja yako...Mwambe alitangaza kujivua uanachama wa cdm.
..Na cdm wamemuandikia Spika kuwa Mwambe siyo mwanachama wao.
..Spika amedai hakubaliani na barua ya cdm kwasababu haionyeshi kikao kilichokaa na kumvua uanachama Cecil Mwambe.
..CDM wanadai hawakuwa na haja ya kuitisha kikao kwasababu suala la Mwambe halikutokana na makosa ya kinidhamu, au kufukuzwa, bali ni Mwambe mwenyewe ameachana na CDM na kujiunga na CCM.
..Cecil Mwambe baada ya kusikia kuwa ameitwa bungeni, amesisitiza ktk vyombo vya habari kwamba yeye ni mwanachama wa CCM.
..Katika mazingira hayo Spika anatakiwa kushauriwa vizuri asije akaharibu historia ya bunge letu kwa kumruhusu Cecil Mwambe kuingia bungeni.
Ikishindikana watumie mbinu kama waliyotumia kwa Azory Gwanda au Ben Saanane. Wasifanye uzembe kama walivyofanya kwa Tundu LissuSpika akileta maloloso, anaweza kuondoloewa kwa azimio la wabunge.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kifungu 84,7(d)
(d) ikiwa mtu huyo ataondolewa kwenye madaraka ya
Spika kwa azimio la Bunge lililoungwa mkono na
Wabunge amabo idadi yao haipungui theluthi mbili ya
Wabunge wote; au.........
Haya wabunge jipimeni na mumpime Spika.
Anatosha?
Raisi anaweza kulivunja Bunge kabla hamjapiga hiyo kuraWabunge tunampima Raisi na hatoshi , soon tunapiga Kura ya kutokuwa na Imani nae
Kwa kiwango cha hili bunge Ayubu anatoshaSpika akileta maloloso, anaweza kuondoloewa kwa azimio la wabunge.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kifungu 84,7(d)
(d) ikiwa mtu huyo ataondolewa kwenye madaraka ya
Spika kwa azimio la Bunge lililoungwa mkono na
Wabunge amabo idadi yao haipungui theluthi mbili ya
Wabunge wote; au.........
Haya wabunge jipimeni na mumpime Spika.
Anatosha?
CCM hawawezi kufanya huo ufala.Raisi anaweza kulivunja Bunge kabla hamjapiga hiyo kura