Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa, huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia.
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar