Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 289
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa nguvu ya chuma, saa ya ukombozi ni sasa.Wewe utachanganyikiwa kabisa ukishuhudia Lisu akipata si zaidi ya asilimia 20 ya kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa nguvu ya chuma, saa ya ukombozi ni sasa.Wewe utachanganyikiwa kabisa ukishuhudia Lisu akipata si zaidi ya asilimia 20 ya kura
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa nguvu ya chuma, saa ya ukombozi ni sasa.
Na wewe ni msomi?Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia .
Karibu Malindi mkuuNa wewe ni msomi?
Wasomi wa Tanzania, Wakati mwingine mmejaa Ujinga usiotokana na akili zenu!!
Eti Mungu kampangia awe Raisi??🤣
Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu
Kwa kweli Lissu na Chadema watashinda sana kwenye mitandao ila siyo kwenye uchaguzi. Jiandaeni kisaikolojia hasa Lissu maana anaweza akapata degedege akashindwa kabisa kutembea baada ya matokeo kutangazwa huku akiwa amembulia asilimia 20% ya kura zote.View attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia .
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar
Sio huu mwaka labda na 25 ndio atafikiriwa ila huu mwaka angekaa kimya tu hatoweza kushinda .View attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia .
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar
wewe kama nani ?Sio huu mwaka labda na 25 ndio atafikiriwa ila huu mwaka angekaa kimya tu hatoweza kushinda .
Wamepagawa nini sasa unajua siasa wewe?Lissu Zanzibar..[emoji23]
Nyie mmeshapagawa nyinyi..
Na wewe kama nani?wewe kama nani ?
Lisu wa mitandaoni sounds amazing 😉View attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia .
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar
Kanda ya Kaskazini wametuangusha kwenye habari za Lissu, Viva kanda ya serengetiNilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chichote cha Arusha.
Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu .
Kama ambavyo babayenu watapata 12% ya kura zote utakufa kabisaWewe utachanganyikiwa kabisa ukishuhudia Lisu akipata si zaidi ya asilimia 20 ya kura
Angeshinda Kama angegombea Tanzania Visiwani, Huku bara ni JpmView attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia .
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar
Shambulizi la ofisi liliharibu kila kituNilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chichote cha Arusha.
Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu .
Kanda ya Kaskazini wanaelewa wanachokifanya mkuu.Kanda ya Kaskazini wametuangusha kwenye habari za Lissu, Viva kanda ya serengeti
Babu yangu yupiKama ambavyo babayenu watapata 12% ya kura zote utakufa kabisa
Tusilumbane mwezi wa kumi si mbali wenyewe ndo utakuja na majibu.. easy like that.Wamepagawa nini sasa unajua siasa wewe?