abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Kama vile Hai ilivyo kua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana bahat alienda na Mabasi ya watu walio mshindikiza angekua peke yake angepata bonge LA aibuView attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia .
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar