Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Hakuna saa 7 asubuhi. Labda kwenu Chadema ipoKwa kuzingatia neno asubuhi, wewe utaamua kwenda saa 1 au saa 7? Basi tufanye wewe huamini kwenye makosa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna saa 7 asubuhi. Labda kwenu Chadema ipoKwa kuzingatia neno asubuhi, wewe utaamua kwenda saa 1 au saa 7? Basi tufanye wewe huamini kwenye makosa!
Mwambie atembelee Yu-tube ajionee.Hukufuatilia
Kuna watu humu hatuna sides... Ila tutasema the real thing .. mimi nimezaliwa chuga and im still living here...Tunasubiri kuona. Hongera Molemo media. Wanaobeza mapokezi ya Arusha wamekabwa na donge la wivu kooni.
Hahahahaha watu wamechafukwa ile mbayaaaNi shetani tu na genge lake wanaomchukia Lissu
Nan kakununulia siku we binti zwazwaNa wewe kama nani?
Ahahahahahahahaha! Hayo ni maandalizi ya kumuaibisha Mgombea Mwenza Salumu Mwalimu. Mtu aliyekataliwa ubunge 2015 kwa fedheha licha ya kubebwa na CUF, leo eti Mgombea Mwenza? Ahahahahahahahah!!!View attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia .
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar
Kama babayenu atakavyoambulia 12% atakufa hapohapo maana lissu atamshughulikia kikamilifuKwa kweli Lissu na Chadema watashinda sana kwenye mitandao ila siyo kwenye uchaguzi. Jiandaeni kisaikolojia hasa Lissu maana anaweza akapata degedege akashindwa kabisa kutembea baada ya matokeo kutangazwa huku akiwa amembulia asilimia 20% ya kura zote.
Coward idiot at work!Nan kakununulia siku we binti zwazwa
Coward idiot at work!
sio kosa lake anasubili taarifa za Lissu TBCMkuu Arusha hukupata taarifa ipi? Mbona yote iliwekwa wazi? Kuanzia mapokezi?
Namfananisha Lisu na mcheza mieleka King Puka,Nilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chochote cha Arusha.
Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu .
Hahahahaha watu wamechafukwa ile mbayaaa
unandika hivi kwa hisia zako au?View attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia .
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar
nimeipenda sana hiyooooo EX-CUF akiweza kuitoka hiyo kwel apo tunasema kakubalika lakini tofauti na hapo nikujipa moyo.Mapokezi atakayopata Lissu huko Zanzibar ni kitu cha kuangalia sana kwani hiyo ni ngome ya ACT (ex-CUF Maalim), yakiwa mazuri yata ashiria Lissu kumpiku Membe, kumbuka Lissu ameongelea mambo ya Zanzibar kwa msimamo wake toka wakati wa Bunge la Katiba wakati Membe akiwa na Kikwete wakipinga serikali 3. Ngoja tuone.
Hiyo inashiria watu kuwachoka CHADEMA na siasa za kikorofuLisu Arusha akipata mapokezi kiduchu sana! Huwezi amini kama kule ndio kitovu cha upinzani hasa chadema
Mafsadi wa ccm wakiona posts za Lissu wanahisi uharisho unawashika, Lisu anafanya madikteta wa chato hawalaliView attachment 1537878