uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Nilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chochote cha Arusha.
Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu .
Mimi ni shahidi, ilinigharimu 2 hours kujua mkutano wa Lissu unafanyikia wapi, na nilipokwisha kujua, natoka Job kwenda nafika nimechelewa, kwa kweli Arusha watu kibao hawakujua, na baada ya kujua hawajui ni wapi, na baada ya kujua ni wapi mda umeenda!
Lissu Arusha anakubalika kuliko chochote!