Uchaguzi 2020 Kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Zanzibar, Maandalizi ya ujio wake usipime

Uchaguzi 2020 Kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Zanzibar, Maandalizi ya ujio wake usipime

Kuna watu humu hatuna sides... Ila tutasema the real thing .. mimi nimezaliwa chuga and im still living here...
Miaka ya nyuma event za chadema watu walikuwa wanajitokeza kwa wingi sana nilitegemea shughuli kusimama jana lakin haikuwa hvyo muitikio ulikuwa mdogo mno... Ni dalili mbaya u have a task to do kumtafutia kura mgomvea wenu... Sio huku social media tuu na mostly jf...
Ingia fb hata kwenye page ya mnyika au lema watu wanaponda kinyama
Hao wanaoponda sio watu ni wahuni wa UVCCM walionunulia Tecno
 
Hata Libya walisema vivo hivyo, tazama walipo hivi leo kisha ulinganishe na mahali walipokuwa wakati wa Gaddafi
Madikteta wabaya sana ndugu yangu, hawavumiliki wala kuzoeleka. Akikosa kabisa mtu wa kumfanyia ufedhuli, hapati tabu yeyote kukurejea wewe uliye karibu naye. Amka
 
Nilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chochote cha Arusha.

Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu .
Tuliza kishundu hicho
 
Mwambie babayenu akusanye wasanii kama jina lao lilivyo kimya kimya na lissu akiapishwa tu wajiandae na mwaka huu hatudanganywi na hao wanengua viuno na wapiga mitama
Madikteta ni watu hatari sana, tusiwachekee.
 
Nyerere hakumpiga nduli idi Amin kimya kimya bali alitangaza na ushindi akaupata
Bwashee wazo la kufanya mambo kimya kimya kafanyie kwenye chungu cha kiporo cha wali ndondo utashiba vizuri,
ila kwa CDM waachie wenyewe wanalijua walifanyalo
Chadema, laiti mambo yenu mngeyafanya kimya kimya nadhani heshima yenu ingebaki standard sana. Lakini naona kama vile mnajishushia hadhi yenu..sorry lakini sio kwa ubaya.
 
Wasiwasi na hofu vya nini tena watu wakiambiwa 'ni yeye' mlikosea kumpitisha ktk level hiyo mnakua wakali.

Angalia wataalam wazoefu akina Maalim Seif na Prof Lipumba misafara yao inakwenda vizuri kwa sababu wanaongea siasa za kistaarabu na sio chuki ya kumwandama JPM kila sentensi itokayo mdomoni kwa 'ni yeye(

Tusisahau logic ya kuwa hata kama wewe na wafuasi wako hamumpendi mgombea mwenzako lakini na yeye an wafuasi wake miongoni mwa wananchi unaowahutubia na ana haki kama ulizonazo za kutotukanwa au kutosingiziwa mambo ya uongo. Mbona Maalim na Lipumba na wagombea wengine wanaweza ustaarabu au na wao hawajui kitu kama 'ni yeye'

Yale yaliyotokea Hai ya kupambana na wananchi yatatokea sana mikoa mingine especially wakati wa uchaguzi wenyewe na sababu itakuwa 'ni yeye' .

Now kwa ishu ya Zanzibar, akisema tu kuwa Zanzibar ni nchi huru blah blah blah na akishinda atashirikiana na Seif kuwarudishia nchi yao, hapo Tume itakuwa imepata sababu ya msingi ya kumkata.

Nadhani akina Mbowe na wenzake watamshaiuri vizuri 'ni yeye'

..mara nyingi TL huponzwa na ujasiri wake wa kusema ukweli.

..kwa mfano, wengi walikuwa wakiogopa kuuliza kilichomkuta Abdalah Kassim Hanga, lakini TL alimtaja ktk bunge maalum la katiba.

cc Mohamed Said
 
Sawa nimekuelewa sana tu lakini tatizo unasahai kuwa Siasa is an Art of Science , it is all about Spinining. Kwa watu ambao hawajui Siasa huwa wanafikiri kuongea ukweli mkavu mkavu kama Lawyers au Engineers pale jukwaani ndio utashinda mioyo ya watu. On the contrary wananchi wakikuona uko hivyo wanajaa woga juu ya wewe. Ni lazima uwe na strategy ya kuwa-massage wanachi kwanza kabla taratibu hawajajenga imani nawe.

Mfano mzuri ni hii hoja ya maendeleo ya vitu vs. maendeleo ya watu. Strategy inayotumiwa na opposition itawaondolea imani kwa wananchi walio wengi especially huko Rural areas.

Hivi mtu ambaye toka azaliwe hajawahi kuishi kwenye nyumba ya umeme leo hii amepata umeme wa REA halafu unakuja kumwambia kuwa it's nothing atakuelewa kweli?

Au wewe mwenyewe umeweza kuzunguka nchi nzima kutafuta udhamini kwa kutumia Mercedes Benz C Class, hilo lingewezekanaje kama vitu kama barabara nzuri na madaraja havijajengwa?

Wanachotakiwa kufanya ni kwenda sambamba na kile kilichofanywa na ruling party, kama wamejenga kilometa 1000 sisi tutajenga 3000, kama wameleta umeme wa bei nafuu sisi tutaleta wa nafuu zaidi etc. Hiyo ndio lugha ambayo wananchi wetu wanaelewa na kuamini. Zaidi ya hapo utaonekana ni activists au mpenda Shari hata kama lengo ni kuongea ukweli, ofcourse utapata wafuasi lakini watakua ni minority..

Nchi hii mpaka leo, ukiondoa Mwalimu, kuna wanasiasa wengine 4 ambao ujengaji hoja wao ulikua ni next level haijawahi tokea tena:

2 - Oscar Kambona
3 - Mohammed Babu
4 - Tuntemeke Sanga
5 - Christopher Mtikila

Hao watu hapo juu walziiipa shida sana serikali zilizopita kwa kujenga hoja zenye mvuto sana bila kukashifu unnecessarily, Nadhani unakumbuka ishu ya Magabachori na jinsi Mtikila alivyokua akishinda kesi za kikatiba dhidi ya serikali.

Let's give credits kwa Maalim Seif nafikiri yeye anawakaribia hao niliowataja hapo juu, experience yake serikalini toka enzi za Mwalimu na kugombea uRais wa Zanzibar mara nyingi kumemjenga sana kama mwanasiasa mzuri. Tatizo umri.
 
..nakubaliana na wewe kwamba waTz walio wengi ni masikini, na wanapenda kuahidiwa "maendeleo ya vitu."

..kwa hiyo pamoja na kuwaahidi wananchi masuala ya HAKI, katiba mpya, utawala bora, TL anapaswa kuwaahidi wananchi "vitu."

..tatizo ni kwamba TL ana uzoefu wa kushinda uchaguzi ktk ngazi ya ubunge kwa vipindi viwili bila kuahidi "vitu."

..siyo rahisi kwa TL kufanya kampeni ambayo hana uzoefu nayo, anahitaji very strong ppl in his campaign team ambao watamuelekeza jinsi ya ku-balance ujumbe wake.

NB:

..nadhani ktk wanasiasa wa nchi hii Freeman Mbowe anastahili sifa. kuongoza cdm siyo kazi rahisi kama wengi wanavyodhania.
 
Chadema kwenye maswala ya media mmefeli, taarifa za lissu hamzitoi kwa wakati.Badilikeni
 
Back
Top Bottom