Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
Karibu sana MalindiWe kajamaa uko vizuri kwenye propaganda za kuungaunga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana MalindiWe kajamaa uko vizuri kwenye propaganda za kuungaunga.
Pamoja KamandaTunashukuru kwa Taarifa.Kwa vile umeshawasili huko Molemo Media itakuachia tukio lote kuuhabarisha umma
mwaka huu hamna pakujificha.Kwa kweli Lissu na Chadema watashinda sana kwenye mitandao ila siyo kwenye uchaguzi. Jiandaeni kisaikolojia hasa Lissu maana anaweza akapata degedege akashindwa kabisa kutembea baada ya matokeo kutangazwa huku akiwa amembulia asilimia 20% ya kura zote.
😄😄😄😄Kwa kweli Lissu na Chadema watashinda sana kwenye mitandao ila siyo kwenye uchaguzi. Jiandaeni kisaikolojia hasa Lissu maana anaweza akapata degedege akashindwa kabisa kutembea baada ya matokeo kutangazwa huku akiwa amembulia asilimia 20% ya kura zote.
Lisu Arusha akipata mapokezi kiduchu sana! Huwezi amini kama kule ndio kitovu cha upinzani hasa chadema
Yaani kuweka bango ndiyo kutikisa?View attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia .
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar
View attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa, huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia.

Ila Chadema media ina pwaya sana.. Hatupati updates kabisa. Na tv wameamuakujifnya hawajui kama Lissu na vyama vingine wako kwenye kutfuta kura.Uzi ulitoweka ghafla kwenye radar zangu, nikaishia kujiuliza tu nini kimetokea, maana nasubiria kuona uodates za Arusha nikashangaa zinaingia za Hai.
Ngoja niutafute tena
Kabisa mkuu, na kama walikuwa wanamaanisha saa 1 asubuhi kwanini waandike kwenye form ya saa za kiingereza wakati tangazo lenyewe lote ni la kiswahili..Mara nyingi tunakosa umakini katika kuwaza, kunena na/au kuandika. Ni vema tuwasahihishe waandike saa 7 mchana au adhuhuri. Busara iwaongoze kukiri hadharani kufanya makosa ya kiuandishi, kuomba radhi na kurekebisha mara moja. Katika hali ya ushindani mkubwa kosa dogo laweza kugharimu goli!
Magufuli aliangukia pua Zanzibar kwenye urais 2015Zanzibar ataishia tu kupata wadhamini hapati diwani Wala mbunge Wala mwakilishi baraza la wawakilishi .
Hata kura za Uraisi akizidi kura 100 Zanzibar nifukuzwe jamii forums
Kule atalijua jiji si huwa anajitia hataki muungano . Wanzanzibari watamuonyesha Cha mtema kuni wa CCM na Upinzani hawampi kura. Hata kidogo sababu anatoka bara
View attachment 1537878
Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia.
Mzee tafuta muda utubu kwa dhambi hii, haiwezekani mawazo yako ukayafanya ndo mpango wa Mungu....hakuna mtu anayeweza kujua mipango ya Mungu.
Siasa za kimya kimya uliziona wapi ?Chadema, laiti mambo yenu mngeyafanya kimya kimya nadhani heshima yenu ingebaki standard sana. Lakini naona kama vile mnajishushia hadhi yenu..sorry lakini sio kwa ubaya.
Sasa hizi za matarumbeta hamziwezi.Siasa za kimya kimya uliziona wapi ?
Kabisa mkuu, na kama walikuwa wanamaanisha saa 1 asubuhi kwanini waandike kwenye form ya saa za kiingereza wakati tangazo lenyewe lote ni la kiswahili..
Kunahitajika umakini na uhariri kabla ya kupublish matangazo kama haya..
wabongo mnahangaika na tuvitu vitu huku mambo makubwa hamyaoni !Sawa kabisa!
Mwanapropaganda wa Chadema huyo.Ndugu una kipaji kikubwa cha uongo
Hilo bango linasema saa 07.00 Asubuhi! Hakuna wakati kama huo duniani! Waambie warekebishe.View attachment 1537878