Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu Arusha hukupata taarifa ipi? Mbona yote iliwekwa wazi? Kuanzia mapokezi?Nilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chichote cha Arusha...
Tunashukuru kwa Taarifa.Kwa vile umeshawasili huko Molemo Media itakuachia tukio lote kuuhabarisha ummaView attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia...
HukufuatiliaNilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chichote cha Arusha.
Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu .
Nilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chichote cha Arusha.
Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu .
[/QUOT
Ulikuwa unasubiria channel gani hiyo hukuona au ulikuwa TBC na ITV mkuu?mpango mzima ni WhatsApp tuma namba nikuunge
Maalim seif huyo abaki kwenu hukooView attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia .
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar
Uzi ulitoweka ghafla kwenye radar zangu, nikaishia kujiuliza tu nini kimetokea, maana nasubiria kuona uodates za Arusha nikashangaa zinaingia za Hai.Mkuu Arusha hukupata taarifa ipi? Mbona yote iliwekwa wazi? Kuanzia mapokezi?
Kwani nguchiro alitengenezwa na Mungu yupi?View attachment 1537878
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa , huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia .
Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika pilika za mapokezi kama nilizoziona wakati huu wa ujio wa Lissu , ama kwa hakika Mungu akikuwekea mkono wake hakuna nguchiro wa kuupangua .
Mungu ibariki Zanzibar
View attachment 1537878

Hapa kuna mtu kanaswa na kuchanganya saa za kiswahili na kingereza. Hata mimi lilinipita nili assume ni 07.00 hrs, wasipofanya marejeo kutakua na mkanganyiko.Saa 7 ni asubuhi??
Hadi sasa Lissu amewavuta malaki kwa safari zake, ni muhimu kuwafufua watu waliokuwa wamekata tamaa kwasababu ya ubabe wa serikali, kwa kuwa hatakwenda mikoa yote ni sawa tu kugusa hapa na pale kujua hali ilivyo na kuwahamasisha wanachama.Nilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chichote cha Arusha.
Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu .
Lisu Arusha akipata mapokezi kiduchu sana! Huwezi amini kama kule ndio kitovu cha upinzani hasa chademaNilisubiri sana mapokezi ya Arusha, tukaambiwa kuna Molemo media imetangulia pale tangu siku moja kabla, matokeo yake tukaishia kuona msafari ukiwa barabarani tu na masaa machache tukasikia mashambulizi pale Hai bila ya kusikia chichote cha Arusha.
Mimi ningewashauri muwe watulivu tu hata hizo form angepita kuzijaza kimya kimya tu .
Mapokezi atakayopata Lissu huko Zanzibar ni kitu cha kuangalia sana kwani hiyo ni ngome ya ACT (ex-CUF Maalim), yakiwa mazuri yata ashiria Lissu kumpiku Membe, kumbuka Lissu ameongelea mambo ya Zanzibar kwa msimamo wake toka wakati wa Bunge la Katiba wakati Membe akiwa na Kikwete wakipinga serikali 3. Ngoja tuone.