Kishindo cha vikwazo kesho, Nchimbi na Kombo wapo Marekani, Samia yupo Dubai

Hatimaye marekebisho yamepita.

View attachment 3610159

ukitaka kuelewa kwamba tumetekwa na kutawaliwa na ma-low iq, angalia hiyo orodha ulioweka hapo juu "arctic security and diplomacy act- counters russian influence in the arctic" halafu watawala wa tanzagiza wanafanya pompous official visit russia na kujitapa kwamba hawawezi kuchaguliwa rafiki hapo hapo long legged mpemba yuko USA akifanya lobbying na picha ya Nyerere ...
 
CCM ni chama cha kigaidi.

Huwezi kuandamana kwa mabango na maji, wakati wao wanapiga silaha za moto gizani pasipo na media wala mtandao.

Lazima kuwe na namna nyingine
 
Tulisema mwanzo kitendo cha kwenda Urusi kitatuponza wao wakasema tusiwachagulie rafiki.

Simple logic, unataka msaada kwa mtu halafu unaenda kumtembelea adui yake, does it make sense?
 
CCM ni chama cha kigaidi.

Huwezi kuandamana kwa mabango na maji, wakati wao wanaoiga silaha za moto gizani pasipo na mefia waka mtandao.

Lazima kuwe na namna nyingine
Hahaa unaandamana umeshikilia matawi ya maua, ndio maana wanapoona wananchi wanapata support ya jumuiya za kimataifa wanakimbilia kusema wamehongwa kuandamana.
 
wajadiliwe walioenda marekani kuliko huyo Alieenda kwa mtoto wa marekani
 
wajadiliwe walioenda marekani kuliko huyo Alieenda kwa mtoto wa marekani
Kuna watu wawili hapa; lakini naona wewe unawajadili zaidi ya hao wawili; inachanganya!
Ni nani "aliyeenda kwa mtoto wa Marekani", na huyu "mtoto wa Marekani" ni nani?
 
CCM ni chama cha kigaidi.

Huwezi kuandamana kwa mabango na maji, wakati wao wanapiga silaha za moto gizani pasipo na media wala mtandao.

Lazima kuwe na namna nyingine
Ninakubaliana na wewe.

Sasa tuchunguze kwa uangalifu mkubwa sana wakati maandalizi ya haya ya 7/7 yanavyoendelea kusogea hawa majambazi watakuwa wanatamka na kujipanga vipi.

Kama Oktoba haikuwafundisha lolote; dalili zitaendelea kuonekana kwa matamko na matendo yao, na waTanzania watajipanga 'accordingly' kutokana na hali hiyo

Inamaana tutakuwa tumeingia katika 'phase' tofauti kabisa na tuliyowahi kuipitia; kwamba wauaji hawajifunzi chochote; na kwa hiyo kitakachohitajika ni dawa ya moto ni moto vilevile

Hii 7/7 tuseme ni fursa kwao (CCM) kuonyesha dunia kuwa wamejifunza na makosa yao yote waliyofanya huko nyuma.
Wasipojifunza, hakuna tena nafasi ya kubembelezana nao.

Najuwa Oktoba inatosha kuchukuliwa kuwa wamevuka hatua ya uvumilivu; lakini siyo mbaya kuwapa fursa hii ya 7/7 kuona kama kuna mabadilko yoyote katika uamzi wao wa mambo mazito kama haya.

Kama wanadhani mabavu ndiyo njia pekee iliyobaki, basi uamzi huo wanawafanyia waTanzania pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…