Mzee alipigiwa deki barabara, sasa Lissu mvua kutoka Mbinguni imenyesha, kama unaelewa maana ya ishara za kiroho basi jua kuna kitu kikubwa zaidi mwaka huu.2015 Mzee alipigiwa barabara deki lakini hakushinda. Ndiyo ije kuwa Lisu. Mnachekesha
Duh! Hii sasa ni aibu kifijo au kilio ??Kwa kweli Lissu anapendwa kwa dhati na watu. Musoma waridima kwa vifijo vikuu kumpokea Lissu.
Mbeba maono.
Umma utashinda tu hakuna historia ya umma kushindwa, hakuna.Kwavyovyote vile jp asipewe nchi hawezi shinda kabisa labda dola isaliti umma ikifikia hapa damu itamwagika ila hatimae mshindi ni umma.
Ndugu yangu, mbona unataka kumuua mtu kwa puresha? johnthebaptist bado yuko busy anamuuguza na kumuombea bwana yule aliyezidiwa...puresha inapanda inashuka!johnthebaptist naomba kauli yako rafiki
Bunda?Kwa kweli Lissu anapendwa kwa dhati na watu. Musoma waridima kwa vifijo vikuu kumpokea Lissu.
We endelea Kucheka kama umeukalia,Pimbi wewe.2015 Mzee alipigiwa barabara deki lakini hakushinda. Ndiyo ije kuwa Lisu. Mnachekesha
BWANA YESU YUPO KAZINI !Kwa kweli Lissu anapendwa kwa dhati na watu. Musoma waridima kwa vifijo vikuu kumpokea Lissu.
PawaaaaaaaaaaaaaaaPeopleeeeeeees
Kule Iringa magufuli Bila kumleta diamond au harmonize watu hawataenda kabisa hakuna dalili kabisa ya watu kumuelewaSasa drsft lao limerudishwa kwa tume na vyombo vya dola. Kwa sanduku la kura jamaa hatoboi.
Leo kakimbia ratiba yake ya Iringa baada ya kuambiwa hatapata watu. Ratiba ikaenda jumatatu lakini hakuna shule wala ofisi za serikali hazita kuwa wazi. Bado malori nayo yameaha anza kusomba watu toka mikoa ya jirani na vijijini
Hizi editing hamjamboKwa kweli Lissu anapendwa kwa dhati na watu. Musoma waridima kwa vifijo vikuu kumpokea Lissu.
PawaaaaaaaaaPeopleeeeeeees
Una roho ngumu ndugu yangu...Haha sema mkuu wapinzani huwa wanajua kujifariji, yaani huwezi amini mtu kama Lisu wanamwita Rais mteule , jamaa hana hata uhakika wa kura elfu moja.
Hakuna shaka wala ubishi kuwa Lissu anapata nyomi, kwenye kampeni zake. Upande wa pili anawaacha yatima wagombea wa chama chake. Watabaki uchi wakipanda jukwaani kuomba kura kwa sababu ya kauli zake za chuki na uchonganishi, ambazo kimsingi UBINAFSI ndio umemtawala.Kwa kweli Lissu anapendwa kwa dhati na watu. Musoma waridima kwa vifijo vikuu kumpokea Lissu.
Hiyo furaha wataitoa wapi kama wamelazimishwa kufunga maofisi yao na wanafunzi kunyofolewa madarasani? Hata mimi ningesimama kama nguzo ya umeme ilimradi nimeongeza idadi ya vichwa wafurahi ccm. Ila kwa Lisu shangwe, vifijo, nderemo, vigekegele na miluzi lazima vitawale maana wamejitokeza wenyewe kwa ihari yao.Nilichogundua toka hizi kampeni zimeanza, kwenye kampeni za CCM watu ni wengi lakini sijawahi ona wakimshangilia mgombea wao zaidi ya kusimama barabarani kumshangaa.
Ila huku upande wa pili naona watu wana hamasa sana na furaha kila wakimuona TAL